Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matumaini yachanua barabara ya Namtumbo - Tunduru

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Saidi MwambunguHATIMAYE ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Namtumbo hadi Tunduru yenye urefu wa kilometa 187.6, umeanza katika baadhi ya vipande vya barabara hiyo na kuleta matumaini mapya kwa wakazi wa mikoa ya Ruvuma na Mtwara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua Barabara ya Songea-Namtumbo, azindua Hospitali mpya ya Wilaya ya Namtumbo leo

unnamed (46)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwagilia maji mti wa kumbukumbu aliupanda muda mfupi baada ya kuzindua barabara ya Songea hadi Namtumbo yenye urefu wa kilomita 71.4 katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo leo. Wapili kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, Watatu ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile, Wanne ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia Tanzania Bwana Bernard Mchomvu,Wapili kulia ni mbunge wa Namtumbo Vita...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua ujenzi wa barabara Tunduru - Mangaka matemanga,pia azindua mradi wa maji Nalasi -Tunduru

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) na balozi mdogo wa Japan nchini Kazuyoshi Matsunaga (wa tatu kushoto) wakishirikiana kukata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua ujenzi wa Barabara ya Tunduru-Mangaka Matemanga mradi unaojengwa na Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano wa serikali ya Japan kupitia shirika lake la kimataifa la maendeleo JICA.Wengine pichani toka kushoto ni ni Mbunge wa Nanyumbu Dunstan Mkapa,Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,Kapten Mstaafu Joseph Simbakalia,Waziri wa ujenzi Dkt. John...

 

11 years ago

Habarileo

JK kuzindua barabara ya Songea -Namtumbo

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuzindua miradi miwili ya miundombinu ya barabara kutoka Songea hadi Namtumbo yenye kilometa 71.4 na Peramiho hadi Mbinga ya kilometa 78.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFUNGUA BARABARA YA SONGEA-NAMTUMBO

Dkt.Jakaya Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Changamoto za millennia(Millenium Challenge Corporation) Bwana Karl Fickensher wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi Kuzindua Barabara ya Lami ya Songea-Namtumbo yenye urefu wa kilometa 71.4 iliyojengwa kwa msaada wa Watu wa Marekani kupitia mfuko huo wakati wa hafla iliyofanyika katika kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo.
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru...

 

11 years ago

Michuzi

Rais kikwete afungua barabara ya Songe-Namtumbo leo

D92A7678Dkt.Jakaya Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Changamoto za millennia(Millenium Challenge Corporation Bwana Karl Fickensher wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi Kuzindua Barabara ya Lami ya Songea-Namtumbo yenye urefu wa kilometa 71.4 iliyojengwa kwa msaada wa Watu wa Marekani kupitia mfuko huo wakati wa hafla iliyofanyika katika kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo leo.D92A7684 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Changamoto za millennia(Millenium Challenge...

 

10 years ago

GPL

NAMTUMBO: WANANCHI WALIA NA KERO YA UMEME, MADARASA, MAJI NA BARABARA

Mheshimiwa Vita Kawawa. Namtumbo ni moja kati ya wilaya tano zinazounda Mkoa wa Ruvuma, Kusini mwa Tanzania. Upande wa Kaskazini, Namtumbo inapakana na Mkoa wa Morogoro, Mashariki kuna Wilaya ya Tunduru, Magharibi kuna Wilaya za Songea Mjini na Songea Vijijini na Kusini Namtumbo inapakana na Nchi ya Msumbiji. Pia, Namtumbo ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Vita Kawawa, mtoto wa aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na...

 

11 years ago

Michuzi

JK azindua ujenzi wa Barabara ya Matemanga Tunduru Mangaka

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mbunge wa Tunduru mhandisi Ramo Makani, Balozi mdogo wa Japan Kazuyoshi Matsunaga na mwakilishi Mkazi wa Benki ya maendeleo ya Afrika(ADB) Bibi Tonia Kandiero wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua ujenzi Barabara ya kilometa 195.7 ya Matemanga Tunduru-Mangaka uliofanyika Tunduru mjini.Barabara hiyo imejengwa na serikali ya Tanzania kupitia wakala wa Barabara TANROADS ikisaidiwa na Benki ya mendeleo ya Afrika ADB na shirika la maendeleo la Japan...

 

9 years ago

Michuzi

DK.MAGUFULI AKIWA NA WAKANDARASI KATIKA BARABARA YA TUNDURU-MANGAKA

Maelezo ya Picha zikimuonesha Mgombea Urais Kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Mtambo maalum unao changanya Saruji, Kokoto na Udongo(Pulverizer or Rotary Mixer) katika ujenzi wa Barabara ya Kutoka Tunduru kwenda Mangaka katika eneo la Kilimasera-Matemanga km 68.2. 

 

11 years ago

Tanzania Daima

Marsh Academy yachanua Daraja la Nne Nyamagana

TIMU ya soka ya Marsh Accademy, hivi karibuni ilivuna ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Alliance Academy katika mechi iliyokuwa na ushindani ya Ligi Daraja la Nne Ngazi ya Wilaya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani