Rais kikwete afungua barabara ya Songe-Namtumbo leo
Dkt.Jakaya Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Changamoto za millennia(Millenium Challenge Corporation Bwana Karl Fickensher wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi Kuzindua Barabara ya Lami ya Songea-Namtumbo yenye urefu wa kilometa 71.4 iliyojengwa kwa msaada wa Watu wa Marekani kupitia mfuko huo wakati wa hafla iliyofanyika katika kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo leo. Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Changamoto za millennia(Millenium Challenge...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog22 Jul
Rais Kikwete afungua Barabara ya Songea-Namtumbo, azindua Hospitali mpya ya Wilaya ya Namtumbo leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwagilia maji mti wa kumbukumbu aliupanda muda mfupi baada ya kuzindua barabara ya Songea hadi Namtumbo yenye urefu wa kilomita 71.4 katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo leo. Wapili kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, Watatu ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile, Wanne ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia Tanzania Bwana Bernard Mchomvu,Wapili kulia ni mbunge wa Namtumbo Vita...
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE AFUNGUA BARABARA YA SONGEA-NAMTUMBO
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Rais Kikwete afungua rasmi Barabara ya Mwenge-Tegeta jijini Dar leo
10 years ago
Vijimambo14 Jan
RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
PICHA NA IKULU
9 years ago
VijimamboRais Kikwete afungua Mkutano wa Wadau wa Barabara wa TAMISEMI
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA YA USAGARA-KISESA, PIA AFUNGUA DARAJA LA MABATINI
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Rais Kikwete na Mkewe wamjulia hali mbunge wa Namtumbo Mhe Vita Kawawa aliyelazwa hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Mhe Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari katika wodi hiyo.(PICHA NA IKULU).
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO
11 years ago
MichuziRais Kikwete afungua ujenzi wa barabara Tunduru - Mangaka matemanga,pia azindua mradi wa maji Nalasi -Tunduru