Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Almasi adimu yagundulika Tanzania

Omar-ChamboNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

KAMPUNI ya madini ya Petra Diamonds imegundua aina adimu ya almasi ya rangi ya pinki yenye uzito wa karati 23.16 kutoka mgodi wake wa Williamson uliopo Mwadui, Shinyanga.

Kwa mujibu wa taarifa ya kampuni hiyo ya madini, almasi hiyo ya pinki, moja ya madini ya rangi yanayosakwa zaidi duniani ni mfano wa ubora wa hali ya juu na ugunduzi mkubwa na muhimu zaidi kufanywa na Petra kutoka mgodi huo hadi sasa.

“Almasi za pinki hupatikana katika migodi michache...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS WA SOKO LA ALMASI WA ANTIWERPEN AKUTANA NA MABALOZI WA AFRIKA WA NCHI ZENYE MIGODI YA ALMASI

Rais wa Soko la Almasi la Antiwerpen Mhe. Stephane Fischler (katikati) akizungumza na Mabalozi wa Afrika wanaokaa Ubelgiji wa nchi zinazozalisha almasi. Soko la Almasi la Antiwerpen kila mwaka linauza almasi yenye thamani ya Euro bilioni 52. Rais huyo pamoja na mambo mengine amewaeleza Mabalozi mpango wa soko hilo kuanzisha utaratibu wa kutoa takwimu za uzalishaji na mwenendo wa bei ya almasi katika soko la dunia. Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala ameshiriki katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Ebola yagundulika New York

Daktari wa Marekani aliyekuwa akiwahudumia wagonjwa wa Ebola Nchini Guinea amepimwa na kukutwa na virusi vya ugonjwa huko katika hospitali ya ya mjini New York.

Dr Craig Spencer ambaye ni mmoja kati ya madaktari wasio na mipaka alianza kujisikia maumivu na homa siku chache tu baada ya kurejea Marekani akitokea Afrika Magharibi.

Siku ya Alhamisi wiki hii Craig alipelekwa hospitali kwaajili ya vipimo na kisha akatengwa kwa uchunguzi zaidi wa afya yake.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Shaba ya Bluu yagundulika Tunduru

Shaba ya bluu ambayo imegundulika wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Albano Midelo, Tunduru MADINI yenye thamani kubwa aina ya shaba ya bluu (blue copper) yamegundulika katika Kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Kugundulika kwa madini hayo kunaifanya Wilaya ya Tunduru kuwa ndiyo pekee nchini na Afrika Mashariki na Kati kuwa na madini ya shaba ya bluu. Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Chande Nalicho, amesema utafiti unaonyesha kuwa tarafa nzima ya Nalasi ina utajiri wa...

 

10 years ago

Habarileo

Gesi zaidi yagundulika Mtwara

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneWIZARA ya Nishati na Madini iko kwenye mchakato wa kukamilisha uandaaji wa sheria tatu, zitakazowasilishwa bungeni wakati wowote, zenye lengo la kuweka uwazi katika maeneo yote yanayohusu mikataba ya uchimbaji wa madini na gesi.

 

11 years ago

GPL

DAWA MPYA YA VIDONDA VYA TUMBO YAGUNDULIKA

Stori: WAANDISHI WETU Dawa mpya ya kutibu vidonda vya tumbo iitwayo Netragen imegundulika nchini.Mkurugenzi wa Kampuni ya Herbowoex yenye makao makuu yake jijini Mwanza iliyofanya utafiti wa dawa hiyo kwa miaka mitatu, Mwita Marwa amesema wamebaini kuwa dawa hiyo ina uwezo wa kutibu vidonda vya tumbo kwa kiwango cha juu na bila kuleta madhara kwa mifumo mingine ya mwili hata kama ikitumika kwa wingi. “Watu waliotumia dawa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Almasi kubwa yapatikana Botswana

Jiwe la pili lenye thamani zaidi duniani la Almasi limegunduliwa nchini Botswana.

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania kuleni nyama ya panya ina vitamini adimu mwilini

Watanzania wameshauriwa kufuga na kula panya aina ya ndezi wakieleza kuwa nyama hiyo haina mafuta mengi, ikiwa pia na virutubisho muhimu na vilivyo adimu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Viumbe adimu duniani hifadhi ya Jozani vyanusurika kuteketea kwa moto

882

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo na Mali Asili wakati alipotembelea eneo liloathirika kwa moto kwenye Hifadhi ya Msitu wa Jozani Mkoa wa Kusini Unguja. Mwanzo kushoto ni Waziri wa Kilimo na Mali Asili Zanzibar Dr. Sira Ubwa Mwamboya na Katbu Mkuu wa Wizara hiyo Nd. Afan Othman Maalim.

Vikosi vya ulinzi  na Uokozi kwa kushirikiana na wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo na Mali Asili pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wamefanikiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani