RAIS WA SOKO LA ALMASI WA ANTIWERPEN AKUTANA NA MABALOZI WA AFRIKA WA NCHI ZENYE MIGODI YA ALMASI
![](http://4.bp.blogspot.com/-qMaB1ymUijA/VBNmWD_zwHI/AAAAAAAGjYE/8K5gxVRPqC0/s72-c/unnamed%2B(33).jpg)
Rais wa Soko la Almasi la Antiwerpen Mhe. Stephane Fischler (katikati) akizungumza na Mabalozi wa Afrika wanaokaa Ubelgiji wa nchi zinazozalisha almasi. Soko la Almasi la Antiwerpen kila mwaka linauza almasi yenye thamani ya Euro bilioni 52. Rais huyo pamoja na mambo mengine amewaeleza Mabalozi mpango wa soko hilo kuanzisha utaratibu wa kutoa takwimu za uzalishaji na mwenendo wa bei ya almasi katika soko la dunia. Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala ameshiriki katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 Jun
Mh. Rais Kuna Fedha Huko Kwetu- Dr. Almasi
MWIGIZAJI wa filamu mahiri katika tasnia ya filamu Bongo Steven Almasi ‘ Dr. Almasi’ anasema kuwa tasnaia ya filamu inaweza kuzalisha ajira nyingi na kutengeneza fedha nyingi endapo tu mkuu wan chi atatoa kipaumbele kwa kazi za wasanii wa filamu kulindwa na kupewa nafasi katika kama sekta rasmi kwa vitendo.
“Kama ningepata nafasi ya kuongea na Mh. Rais Kikwete ningemshauri kuhusu pesa inayopotea katika tasnia ya filamu kwa kuwaachia wezi wa kazi za filamu wanaofaidika kila siku bila jasho...
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Almasi kubwa yapatikana Botswana
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Almasi adimu yagundulika Tanzania
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KAMPUNI ya madini ya Petra Diamonds imegundua aina adimu ya almasi ya rangi ya pinki yenye uzito wa karati 23.16 kutoka mgodi wake wa Williamson uliopo Mwadui, Shinyanga.
Kwa mujibu wa taarifa ya kampuni hiyo ya madini, almasi hiyo ya pinki, moja ya madini ya rangi yanayosakwa zaidi duniani ni mfano wa ubora wa hali ya juu na ugunduzi mkubwa na muhimu zaidi kufanywa na Petra kutoka mgodi huo hadi sasa.
“Almasi za pinki hupatikana katika migodi michache...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wM_zhUQ6Fgs/Vg8Biq20OVI/AAAAAAAH8d4/lHRAQA0FTg0/s72-c/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mh. Dk. Binilith Mahenge akutana na mabalozi wa Uswisi na Ufaransa
![](http://2.bp.blogspot.com/-wM_zhUQ6Fgs/Vg8Biq20OVI/AAAAAAAH8d4/lHRAQA0FTg0/s640/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LbarWGSERPs/XnyNyXSfowI/AAAAAAALlFk/2phAqlzMfCgaUtsHZOlayyvzrSCGFeP0QCLcBGAsYHQ/s72-c/1%2B%25281%2529.jpg)
ZOEZI LA UCHENJUAJI MCHANGA WA ALMASI LAANZA RASMI MWADUI
![](https://1.bp.blogspot.com/-LbarWGSERPs/XnyNyXSfowI/AAAAAAALlFk/2phAqlzMfCgaUtsHZOlayyvzrSCGFeP0QCLcBGAsYHQ/s640/1%2B%25281%2529.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-_MV-_yuaX9U/XnyNoDZjRHI/AAAAAAALlFc/IrNOYQIttD4xW5XcDCV7vXvW17KBbApPwCLcBGAsYHQ/s640/2%2B%25281%2529.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-pNhmwGGK3vM/XnyNwYKM3KI/AAAAAAALlFg/6SchaOwycW0-xettOqs_RFrZtqRyB-QYACLcBGAsYHQ/s640/3.jpg)
10 years ago
MichuziHARUSI YA NIAH ALMASI NA JACKLINE BUKUKU WA NSSF MBEYA
10 years ago
VijimamboHARUSI YA NIAH ALMASI NA JACKLINE BUKUKU WA NSSF MBEYA YAFANA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yLKKZLGdNVU/Xo3NSkbSO1I/AAAAAAAC870/ue_Fu2Dhgg0U5_4RiOvBjmuoWHV1W5oMwCLcBGAsYHQ/s72-c/ob_37006e_muungano.jpg)
KUELEKEA MIAKA 56 YA MUUNGANO TULICHONACHO NI ALMASI TUSIDANGANYIKE NA WALIOSHINDWA KUUNGANA
![](https://1.bp.blogspot.com/-yLKKZLGdNVU/Xo3NSkbSO1I/AAAAAAAC870/ue_Fu2Dhgg0U5_4RiOvBjmuoWHV1W5oMwCLcBGAsYHQ/s640/ob_37006e_muungano.jpg)
Na Mwandishi Wetu – Maelezo
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Jamhuri ambayo imefanikiwa kuulinda, kuulea, na kudumisha Muungano kwa mIongo mitano na nusu sasa ambapo unarithishwa kwa vizazi kwa kuwa waasisi wengi wa Muungano wametangulia mbele ya haki na kuufanya kuwa mfano wa pekee katika sayari ya dunia.
Unapoitaja Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huna budi kuwashukuru kwa dhati kabisa Waasisi wa Muungano ambao ni Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Shekhe Abeid Amani Karume,...
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Elimu yetu na kisa cha zuzu mwenye donge la almasi