Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Elimu yetu na kisa cha zuzu mwenye donge la almasi

Wakati fulani katika hotuba zake, Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kutoa mfano juu ya uwezekano wa Mtanzania kuwa na donge la almasi mkononi mwake, lakini akatokea mtu akiwa na kipande cha jiwe kinachong’ara na kumrubuni kuwa jiwe hilo lina thamani kuliko dhahabu yake, naye Mtanzania akakubali kubadilishana naye kama zuzu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS WA SOKO LA ALMASI WA ANTIWERPEN AKUTANA NA MABALOZI WA AFRIKA WA NCHI ZENYE MIGODI YA ALMASI

Rais wa Soko la Almasi la Antiwerpen Mhe. Stephane Fischler (katikati) akizungumza na Mabalozi wa Afrika wanaokaa Ubelgiji wa nchi zinazozalisha almasi. Soko la Almasi la Antiwerpen kila mwaka linauza almasi yenye thamani ya Euro bilioni 52. Rais huyo pamoja na mambo mengine amewaeleza Mabalozi mpango wa soko hilo kuanzisha utaratibu wa kutoa takwimu za uzalishaji na mwenendo wa bei ya almasi katika soko la dunia. Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala ameshiriki katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Kampeni za elimu bure zitasaidia kuboresha elimu yetu?

Kipindi cha kampeni za uchaguzi zinapokaribia, ni wakati muhimu sana kwa wananchi kuongeza umakini katika kusikiliza na kuamua ipi ni hoja au ahadi ya msingi kwa mustakbali wa nchi yetu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi wa Anglican watembelea shamba la Waziri Mkuu Zuzu Dodoma kujifunza kilimo bora cha Zabibu na Embe

PG4A0835

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza viongozi wa Kanisa la Anglican kutembelea shamba lake la Zabibu lililopo Zuzu Dodoma Februari 9, 2015. Baadhi ya viongozi hao ambao walikwenda kujifunza kwa lengo la kuanzisha shamba linalofanana na hilo Dodoma ni Askofu Dickson Chilongani wa Dayosisi ya Dodoma (kushoto), Askofu Maimbo Mndolwa wa Dayosisi ya Tanga (wapili kushoto) na  kulia ni Re. Canon, Johnson Chinyongole ambaye ni Katibu Mkuu wa Kanisa hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A0824

PG4A0826

PG4A0844

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KANISA LA ANGLICAN WATEMBELA SHAMBA LA WAZIRI MKUU ZUZU DODOMA KUJIFUNZA KILIMO BORA CHA ZABIBU NA EMBE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza viongozi wa Kanisa la Anglican kutembelea shamba lake la zabibu lililopo Zuzu Dodoma Februari 9, 2015. Baadhi ya viongozi hao ambao walikwenda kujifunza kwa lengo la kuanzisha shamba linalofanana na hilo Dodoma ni Askofu Dickson Chilongani wa Dayosisi ya Dodoma (kushoto), Askofu Maimbo Mndolwa wa Dayosisi ya Tanga (wapili kushoto) na kulia ni Re. Canon, Johnson Chinyongole ambaye ni Katibu Mkuu wa Kanisa hilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza...

 

9 years ago

GPL

MKE ASEMA: MUME KANITIMUA KISA, NIMEZAA MTOTO MWENYE MAGAMBA

Shani Ramadhani WE mshukuru Mungu! Rose Joseph (19), mzaliwa wa Mkoa wa Mara anayeishi Kirumba jijini Mwanza amefukuzwa na mumewe akituhumiwa kuitia mkosi familia baada ya kuzaa mtoto Violeth (miezi nane) mwenye magamba (matatizo ya ngozi). Mtoto Violeth akiwa na mama yake. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Rose alisema, baba yake mzazi alimlazimisha kuolewa akiwa na umri wa miaka 14 baada ya kuhitimu elimu ya darasa...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yafuta rasmi ada kwa elimu ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne na michango yote katika elimu ya msingi

Serikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimu ya msingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne, kuanzia mwaka wa masomo wa 2016 kama ilivyoahidi.  Azma hii ya serikali ni katika kutekeleza sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ina lengo la kuhakikisha kwamba watoto wote wa Tanzania wanapata Elimu bila kikwazo ikiwemo ada au malipo.  Katika kutekeleza maamuzi hayo, ada zote zilizokuwa zikilipwa kwa ajili ya elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne zimefutwa.Pia, waraka wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto: Tumechezea elimu yetu tutajuta

Kila baada ya matokeo ya mitihani ya taifa kutolewa, taifa hugubikwa na mijadala mingi kuhusu hali ya elimu nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Anguko la elimu yetu sasa halikwepeki- 2

Mathalan Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikishika nafasi ya nne kwa ubora wa elimu kwa miaka kadhaa sasa miongoni mwa vyuo vikuu bora 100 barani Afrika. Je, nafasi hii itaendelea kutetewa na chuo kinachoiwakilisha nchi kwa miaka michache ijayo?

 

9 years ago

Mwananchi

Elimu yetu ni mkombozi au mdidimizaji wa jamii?

Kimsingi, elimu ndiyo taa na pia ndiyo kiza; inategemea unaiona vipi, umefundishwa nini na nani na kwa jinsi gani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani