Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKE ASEMA: MUME KANITIMUA KISA, NIMEZAA MTOTO MWENYE MAGAMBA

Shani Ramadhani WE mshukuru Mungu! Rose Joseph (19), mzaliwa wa Mkoa wa Mara anayeishi Kirumba jijini Mwanza amefukuzwa na mumewe akituhumiwa kuitia mkosi familia baada ya kuzaa mtoto Violeth (miezi nane) mwenye magamba (matatizo ya ngozi). Mtoto Violeth akiwa na mama yake. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Rose alisema, baba yake mzazi alimlazimisha kuolewa akiwa na umri wa miaka 14 baada ya kuhitimu elimu ya darasa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MUME AOTA MAGAMBA, MKE APATA UPOFU

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah
MKE na mume wa familia moja, Mathayo George (61) na Beatus Mathayo (49) wakazi wa Nachingwea mkoani Lindi wamejikuta kwa nyakati tofauti wakikumbwa na magonjwa ya ajabu ambapo mume ameota magamba huku mke akipata upofu. Mathayo George (61) anayeugua ugonjwa wa kuota magamba. MUME ALIANZA KUPATA VIPELE
Akizungumza na waandishi wetu jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Mathayo...

 

10 years ago

Habarileo

Mke, mume kusota kwa kuozesha mtoto

MKE na Mume wanaotuhumiwa kumuoza binti wa miaka 10 jana walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma Mjini huku Mahakama ikifunga dhamana yao hadi kesi hiyo itakapomalizika.

 

10 years ago

GPL

MY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU

Stori:  Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mke wa mtu, Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa yakichemka jikoni, kisa kupeleka maneno ya umbeya kwa mume wa mtu. Mke wa mtu, Mwajuma Prima akiwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri juzikati majira ya saa 12:00 jioni ambapo mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Fatuma ndiye...

 

10 years ago

GPL

ALA KICHAPO KISA MUME WA MTU

Hamida hassan
Dada mmoja aliyefahamika kwa jina la Jamila mkazi wa Kawe jijini Dar hivi karibuni alipata kipigo cha kufa mtu akituhumiwa kuchepuka na mume wa mwanamke mmoja aitwaye Sheila.Tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo ilielezwa kuwa, Sheila alitonywa na wambeya kuwa Jamila amekuwa akichepuka na mumewe na bila kuchunguza akapanga kumshikisha adabu. Jamila akiwa na jeraha usoni kwa tuhuma zakutembea na mume wa mtu....

 

10 years ago

Mwananchi

‘Mume kanikimbia kisa nazaa sana’

“Sitasahau siku niliyokimbiwa na mume wangu baada ya kumzalia pacha kwa mara ya tatu mfululizo.” Hii ni kauli ya Salome Paul Mhando, mama wa watoto sita ambao ni pacha, aliowazaa kwa nyakati tofauti katika kipindi cha miaka sita iliyopita, wakipishana miaka miwili miwili.

 

11 years ago

GPL

ACHOMWA KISU KISA MUME WA MTU!

JESHIla polisi mkoani hapa linamshikilia mwanamke aliyejulikana kwa jina la Pima Mabubu kwa tuhuma za kumchoma kisu mpaka kumjeruhi vibaya mwanamke mwenzake, Amina Hussein akidai ana uhusiano wa kimapenzi na mumewe, Adam Ndekeja, Risasi Jumamosi lina mkasa wote. Amina Hussein akipata matibabu katika hospital ya taifa Muhimbili. Tukio hilo lililowaacha watu vinywa wazi, lilijiri Aprili 22, mwaka huu shambani katika Kijiji cha...

 

10 years ago

GPL

MUME AMNYONGA MKEWE, KISA WIVU

Stori: Waandishi Wetu
INAUMA sana! Katika kinachoonekana kama ni wivu wa kimapenzi, dada mmoja aliyefahamika kwa jina la Magdalena Lucas ( 23) ameuawa kikatili na ‘mumewe’ aliyetajwa kwa jina la Stephano Lucas (28) nyumbani kwao maeneo ya Mbezi Luis jijini Dar es Salaam wiki iliyopita baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani na mwili wake kufungiwa chumbani kwa siku tatu. Magdalena Lucas enzi za uhai wake....

 

11 years ago

GPL

ISABELA ACHEZEA KIPIGO, KISA MUME WA MTU

MAJANGA! Staa wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda alijikuta akichezea kipigo kutoka kwa mke wa kigogo mmoja maarufu jijini Dar baada kutuhumiwa kuwa anaiba penzi la bosi huyo. Staa wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda akipozi. Tukio hilo la aibu lilitokea mwaka 2010 ambapo chanzo cha staa huyo kuumbuka kilikuwa ni meseji aliyomtumia kigogo huyo kisha mkewe kuinasa. Mke huyo akaichukua namba ya Isabela na kuanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani