Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUME AOTA MAGAMBA, MKE APATA UPOFU

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah
MKE na mume wa familia moja, Mathayo George (61) na Beatus Mathayo (49) wakazi wa Nachingwea mkoani Lindi wamejikuta kwa nyakati tofauti wakikumbwa na magonjwa ya ajabu ambapo mume ameota magamba huku mke akipata upofu. Mathayo George (61) anayeugua ugonjwa wa kuota magamba. MUME ALIANZA KUPATA VIPELE
Akizungumza na waandishi wetu jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Mathayo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MKE ASEMA: MUME KANITIMUA KISA, NIMEZAA MTOTO MWENYE MAGAMBA

Shani Ramadhani WE mshukuru Mungu! Rose Joseph (19), mzaliwa wa Mkoa wa Mara anayeishi Kirumba jijini Mwanza amefukuzwa na mumewe akituhumiwa kuitia mkosi familia baada ya kuzaa mtoto Violeth (miezi nane) mwenye magamba (matatizo ya ngozi). Mtoto Violeth akiwa na mama yake. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Rose alisema, baba yake mzazi alimlazimisha kuolewa akiwa na umri wa miaka 14 baada ya kuhitimu elimu ya darasa...

 

11 years ago

GPL

MATESO MAKALI: AOTA MAGAMBA YA MTI MGUUNI!

Stori: Andrew Carlos na Nyemo Chilongani AMA KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA! Kijana, Andrea John, 26, amejikuta katika wakati mgumu mara baada ya kupatwa na ugonjwa wa ajabu uliosababisha mguu wake kuwa na magamba mithili ya mti mkavu. Kijana, Andrea John (26) akiwa na mguu ulioota magamba mithili ya mti mkavu. CHANZO CHA UGONJWA
Andrea anayeishi kwa mateso makali maeneo ya Argentina, Manzese jijini Dar, anasema mwaka 2005 akiwa...

 

11 years ago

GPL

MUME WA JACK CHUZ APATA AJALI

Stori: Shakoor Jongo na Musa Mateja
MUME wa msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, Gadner Dibibi amesherehekea Sikukuu ya Idd vibaya baada ya kupata ajali wakati akienda msikitini. Mume wa msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, Gadner Dibibi akionyesha majeraha baada ya ajali hiyo. Chanzo cha habari kilitiririka kuwa, Gadner alipata ajali hiyo maeneo ya Mlimani...

 

11 years ago

GPL

MUME, MKE WATEKWA!

KIJANA aliyetambulika kwa jina la Dickson Mathias (35), na msichana aliyejulikana kwa jina la Mariam Kimaya wanadaiwa kutekwa kwa nyakati tofauti baada ya kufunga ndoa ya siri katika Kanisa la KKT, Tegeta jijini Dar, Mei Mosi, 2012, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Mariam Kimaya anayedaiwa kutekwa. Akizungumza na gazeti hili kwa majonzi makubwa, dada wa Dickson, Aneth Mbaga alisema tukio hilo lilitokea baada ya Dickson...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mke amkimbia mume kingono

Palikuwa na kituko cha mwaka kilichotukia katika kituo cha polisi bulenga, wakati mwanamke mmoja alipokuwa akiomba poo kwa mumewe.

 

10 years ago

GPL

MUME ADAI KUKIMBIWA NA MKE!

Stori: Mayasa Mariwata
Kweli? Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Ally Musa, mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro anadai kukimbiwa na mkewe aliyemtaja kwa jina moja la Sauda. Bw. Ally Musa anyedai kukimbiwa na mkewe(Sauda). Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mume aua mke na kutoweka

MWILI wa mwanamke aliyefamika kwa jina la Ekanga Michael (30), umekutwa korongoni maeneo ya Mwanga Vamia karibu na kambi ya jeshi, Manispaa ya Kigoma Ujiji ikidaiwa kuuawa na mumewe. Akifafanua...

 

10 years ago

Mwananchi

MUME KWA MKE TAJIRI

UME KWA MKE TAJIRI Mke akiwa tajiri, mwanamume maskini Hana uwezo fakiri, mke hatamthamini Natunga hili shairi, nisemayo naamini Mume kwa mke tajiri

 

11 years ago

GPL

MUME, MKE VARANGATI MAHAKAMANI

Stori: Haruni Sanchawa
TIMBWILI! Jamaa mmoja na mkewe ambao wote hawakujulikana majina mara moja wamezua varangati la aina yake mahakamani kisa kikiwa ni kufutiwa kesi na kushindwa kuheshimu amri za maafande. Polisi wakimdhibiti jamaa huyo. Tukio hilo la aina yake lililoshuhudiwa na mwanahabari wetu lilijiri kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar baada ya mume huyo kufutiwa kesi iliyokuwa ikimkabili ya unyayasaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani