MATESO MAKALI: AOTA MAGAMBA YA MTI MGUUNI!
![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmboB5q0KifK3c7Ep4gGFttliT39dWug7j9px-g5bIXLE6klyKz6GjWeN-*npB1D-QGhYVVJS9XffG6wUopS1UPF/mateso.jpg?width=650)
Stori: Andrew Carlos na Nyemo Chilongani AMA KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA! Kijana, Andrea John, 26, amejikuta katika wakati mgumu mara baada ya kupatwa na ugonjwa wa ajabu uliosababisha mguu wake kuwa na magamba mithili ya mti mkavu. Kijana, Andrea John (26) akiwa na mguu ulioota magamba mithili ya mti mkavu. CHANZO CHA UGONJWA Andrea anayeishi kwa mateso makali maeneo ya Argentina, Manzese jijini Dar, anasema mwaka 2005 akiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4YilfwQJfCss5JTbQSS2f1vamvs7B3jOzVsx8r5RI*Q1f9a7WXVAWihVtfGQLQ47ATq6jLsARD1azRRINTuuLqqqh8slwLVq/Mathayo.jpg?width=650)
MUME AOTA MAGAMBA, MKE APATA UPOFU
10 years ago
Habarileo26 Nov
Mbunge ataka kufahamu mafanikio ya ‘Kata Mti Panda Mti
TANGU kampeni ya upandaji miti ya ‘Kata Mti Panda Mti’ ianzishwe mwaka 1998, idadi ya miti 1,864,452,063 imepandwa kote nchini, Bunge limefahamishwa.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vcB-R4TFh6r1KKFQeXTJkOfyg-P7SysKOmPFGRNGWOXVnj4QCZ4OVnuxHeVDm8stANYP*cyFlioGAxvtu0wKR5LwDhoz*pME/MSUDANI.jpg)
MATESO JUU YA MATESO
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Magamba yajivua CHADEMA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hivi sasa kipo katika mapito magumu ya kujiimarisha yanayoenda sambamba na makada wake kujiengua ndani ya chama hicho kwa madai mbalimbali, ikiwamo hofu ya...
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
CHADEMA magamba yanavuka yenyewe
HADI sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina kila sababu ya kujivuna, katika mambo yote kina jambo moja kubwa la kujivunia, ukomavu wa kisiasa. Ukomavu huo unadhihirisha kuwa CHADEMA...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m2dop3vQlLkj41gfpXJrlGTlpxVPYZVw9G4bXj6BGhKEe2rH*Mhm88SOZreNyelZWVgReyE5x3WrdLnVLPdERT0xbRd3mBDm/Kondo.jpg)
NIMEUMWA NA NYOKA, NIMETOKWA MAGAMBA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3ydo-rPuK9obLGmDI8GdnhauIvpMzTDSv53FbaRUfOjpGWwE8wPpDZQXtikehU4yTbc5EWwZ7*INn01BLK6BIH6ulCZZ7srl/Dent.jpg?width=650)
DENTI ATOKWA MAGAMBA KAMA YA NYOKA
10 years ago
Mwananchi06 Mar
Sherman aota kuifunga Simba