HARUSI YA NIAH ALMASI NA JACKLINE BUKUKU WA NSSF MBEYA YAFANA
Mtumishi wa Nssf Mbeya Niah Almasi akiwa na nyuso ya furaha baada ya ya kufunga pingu za maisha na Jackline Bukuku ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki iliyopita katika msikiti wa Forest jijini Mbeya na maulid iliyofanyika nyumbani kwa Bw.Harusi Brock T jijini hapa .
Bw.Almasi na Mke wake Jackline katika ubora wao
Baadhi ya watumishi wa Nssf Mbeya wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya mtumishi mwenzao kupata jiko ,(kushoto)Mr Maige na Khadija Rashidi Shibobo.
watoto wa madrasa wakisoma dua...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziHARUSI YA NIAH ALMASI NA JACKLINE BUKUKU WA NSSF MBEYA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qMaB1ymUijA/VBNmWD_zwHI/AAAAAAAGjYE/8K5gxVRPqC0/s72-c/unnamed%2B(33).jpg)
RAIS WA SOKO LA ALMASI WA ANTIWERPEN AKUTANA NA MABALOZI WA AFRIKA WA NCHI ZENYE MIGODI YA ALMASI
![](http://4.bp.blogspot.com/-qMaB1ymUijA/VBNmWD_zwHI/AAAAAAAGjYE/8K5gxVRPqC0/s1600/unnamed%2B(33).jpg)
9 years ago
Bongo Movies28 Aug
Uchaguzi 2015: Jackline Wolper Atangaza Kujiita ‘Jackline Lowassa’
Mastaa wa Bongo Movies, Jackline Wolper , Aunt Ezekiel na Shamsa Ford ambao wamekuwa wakimuunga mkono mgombea urasi wa UKAWA kupitia tiketi ya CHADEMA, Mh Edward Lowassa siku ya jana kwenye Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Millenium Tower, mbali na kuelezea kumuunga mkono mgombea huyo mastaa kumzawadia keki ya ‘Birthday’ ya kutimiza 62 ya kuzaliwa ya mgombea huyo.
Akiongea kwenye mkutano huo wolper alitangaza kuanzia jana atakuwa akiitwa Jackline...
10 years ago
Michuzi30 Mar
HARUSI YA KANUMBA YAFANA ATLANTA GEORGIA
![IMG_6523](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/03/img_6523.jpg?w=714)
![IMG_6563](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/03/img_6563.jpg?w=714)
![IMG_6569](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/03/img_6569.jpg?w=714)
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Harusi ya Rais Peter Mutharika yafana
10 years ago
VijimamboHARUSI YA SIMON NA ANGIE YAFANA WINSTON SALEM, NORTH CAROLINA
11 years ago
GPLHARUSI YA MBUNGE JOSHUA NASSARI NA ANANDE NNKO KANISA LA PENTEKOSTE KALINGA MERU, YAFANA
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Harusi za Mbeya lazima ulishe wapita njia eneo lako
11 years ago
Mwananchi09 Dec
NSSF yawaburuta waajiri kortini Mbeya
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10