Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Rais Kuna Fedha Huko Kwetu- Dr. Almasi

MWIGIZAJI wa filamu mahiri katika tasnia ya filamu Bongo Steven Almasi ‘ Dr. Almasi’ anasema kuwa tasnaia ya filamu inaweza kuzalisha ajira nyingi na kutengeneza fedha nyingi endapo tu mkuu wan chi atatoa kipaumbele kwa kazi za wasanii wa filamu kulindwa na kupewa nafasi katika kama sekta rasmi kwa vitendo.

“Kama ningepata nafasi ya kuongea na Mh. Rais Kikwete ningemshauri kuhusu pesa inayopotea katika tasnia ya filamu kwa kuwaachia wezi wa kazi za filamu wanaofaidika kila siku bila jasho...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS WA SOKO LA ALMASI WA ANTIWERPEN AKUTANA NA MABALOZI WA AFRIKA WA NCHI ZENYE MIGODI YA ALMASI

Rais wa Soko la Almasi la Antiwerpen Mhe. Stephane Fischler (katikati) akizungumza na Mabalozi wa Afrika wanaokaa Ubelgiji wa nchi zinazozalisha almasi. Soko la Almasi la Antiwerpen kila mwaka linauza almasi yenye thamani ya Euro bilioni 52. Rais huyo pamoja na mambo mengine amewaeleza Mabalozi mpango wa soko hilo kuanzisha utaratibu wa kutoa takwimu za uzalishaji na mwenendo wa bei ya almasi katika soko la dunia. Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala ameshiriki katika...

 

9 years ago

Michuzi

KWETU HOUSE- WASHIRIKI 6 KUYAAGA MASHINDANO USIKU HUU USIKOSE KUANGALIA KWETU HOUSE AZAM TV (TWO) SAA TATU NA NUSU USIKU

Msimu wa Pili wa Kwetu House Unaendelea washiriki wanaendelea kuchuana vikali ndani ya Nyumba, Vipajivinaonekana na Ushabiki wa Soka wanaonekana pia. Kama unakumbuka Washiriki waliobahatika kuingia kwenye Nyumba walikuwa 30 baada ya Bootcamp kumalizika na Baada ya hapo Washiriki wameendelea kuyaaga mashindano haya kwa msimu huu wa pili na Wiki hii washiriki 18 ndio wamebaki kwenye Nyumba lakini 6 kati ya hao 18 watayaaga mashindano usiku huu. Kocha ananafasi ya kumuokoa Mshiriki Moja kurudi...

 

11 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete: Kuna majangili papa 40 nchini

>Wakati kuna joto la vyombo vya habari vya kimataifa kuituhumu Tanzania kuwa haipambani na ujangili, Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali imeubaini mtandao unaojumuisha watu 40, akiwemo tajiri maarufu mkoani Arusha.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Rais kutibiwa Marekani kuna ubaya gani?

RAIS wangu, ‘inji hii, washa tu babaangu’ kajisemea Lyatonga! Wahenga walisema kunya anye kuku, akinya bata kaharisha! Kuna watu wako hapa, Rais wangu hata ufanye nini kwao hamna jema. Jamani...

 

10 years ago

Vijimambo

UJIO WA RAIS KIKWETE HUKO UJERUMANI


Kufuatia mkutano wa Watanzania waishio ujerumani na Rais wa Tanzania Mhe Jakaya Kikwete, Mweyekiti wa umoja wa watanzania Ujerumani UTU e.V Bw, Mfundo Peter Mfundo ameeleza matarajio ya Watanzania waishio Ujerumani, alifafanua kwamba japokuwa Rais Kikwete amebakisha muda mfupi katika uongozi wake lakini Umoja huo unaamini kuwa madam Rais Kikwete ameona umuhimu wa kufanya mkutano na Watanzania wanaoishi ujerumani basi anaweza akatekeleza mahitaji ya Watanzania hao.Bw Mfundo alifafanua pia ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Almasi kubwa yapatikana Botswana

Jiwe la pili lenye thamani zaidi duniani la Almasi limegunduliwa nchini Botswana.

 

9 years ago

Mtanzania

Almasi adimu yagundulika Tanzania

Omar-ChamboNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

KAMPUNI ya madini ya Petra Diamonds imegundua aina adimu ya almasi ya rangi ya pinki yenye uzito wa karati 23.16 kutoka mgodi wake wa Williamson uliopo Mwadui, Shinyanga.

Kwa mujibu wa taarifa ya kampuni hiyo ya madini, almasi hiyo ya pinki, moja ya madini ya rangi yanayosakwa zaidi duniani ni mfano wa ubora wa hali ya juu na ugunduzi mkubwa na muhimu zaidi kufanywa na Petra kutoka mgodi huo hadi sasa.

“Almasi za pinki hupatikana katika migodi michache...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA MH. RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE HUKO RUTGERS NEW JERSEY

Mh. Rais akisisitiza jambo katika mkutano huo uliofanyika Rutgers New Brunswick New Jersey, Chuo cha Rutgers kinamahusiano na chuo kikuu cha Dodoma na mkutano huo uliandaliwa na Rutgers' Centers for Global Advancement and International Affairs (GAIA Centers)and the Center for African Studies (CAS). Na walimwalika Mh. Rais Kikwete shuleni hapo. Watanzania wa N J, N Y na PA walipata nafasi ya kuudhulia mkutano huo na kupata ukodak na Mh. Rais Jakaya Kikwete.Mh. Rais akisalimiana na Watanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani