Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUELEKEA MIAKA 56 YA MUUNGANO TULICHONACHO NI ALMASI TUSIDANGANYIKE NA WALIOSHINDWA KUUNGANA





Na Mwandishi Wetu – Maelezo


Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Jamhuri ambayo imefanikiwa kuulinda, kuulea, na kudumisha Muungano kwa mIongo mitano na nusu sasa ambapo unarithishwa kwa vizazi kwa kuwa waasisi wengi wa Muungano wametangulia mbele ya haki na kuufanya kuwa mfano wa pekee katika sayari ya dunia.


Unapoitaja Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huna budi kuwashukuru kwa dhati kabisa Waasisi wa Muungano ambao ni Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Shekhe Abeid Amani Karume,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Kuelekea sherehe za miaka 50, Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la Muungano Mjini Zanzibar.

02

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed  Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Muungano katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar leo Aprili 19, 2014. (Picha na OMR). 03   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanoa, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano) Samia Suluhu, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Muungano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya...

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU MKOANI MBEYA KUELEKEA MIAKA HAMNASINI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw. Abas Kandoro akifungua kongano la Muungano kwa vyuo vya elimu ya juu mjini mbeya leo, kushoto ni Naibu katibu Mkuu Ofisi ya makamu wa Rais Bi Angelina madete,na Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya muungano kutoka Ofisi ya makmau wa Rais Baraka Rajab Waziri wa Nchi Ofisi Ya Makamo wa Rais Muungano Mh. Samia Suluhu Hassan akifafanunua kuhusu masuala ya Muungano katika kongamano lililohusisha vyuo vya elimu ya juu mkoani Mbeya leo. Washiriki wa Kongamano la Muungano...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA SOKO LA ALMASI WA ANTIWERPEN AKUTANA NA MABALOZI WA AFRIKA WA NCHI ZENYE MIGODI YA ALMASI

Rais wa Soko la Almasi la Antiwerpen Mhe. Stephane Fischler (katikati) akizungumza na Mabalozi wa Afrika wanaokaa Ubelgiji wa nchi zinazozalisha almasi. Soko la Almasi la Antiwerpen kila mwaka linauza almasi yenye thamani ya Euro bilioni 52. Rais huyo pamoja na mambo mengine amewaeleza Mabalozi mpango wa soko hilo kuanzisha utaratibu wa kutoa takwimu za uzalishaji na mwenendo wa bei ya almasi katika soko la dunia. Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala ameshiriki katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Tusidanganyike, Serikali inaijua fika mitandao ya ujangili, dawa za kulevya

Kutokana na mlolongo wa matukio ya muda mrefu ya kukamatwa kwa shehena kubwa za dawa za kulevya na nyara za Serikali zinazoingizwa hapa nchini au kusafirishwa kwenda nje ya nchi kila kukicha, wananchi wameanza kuhoji kama kweli Serikali inasema ukweli inapodai kwamba mpaka sasa haijaweza kubaini mtandao wa biashara hizo wala kuwakamata wamiliki halisi wa shehena hizo.

 

9 years ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YAENDELEA KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy (kushoto) kwa pamoja na  Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez wakichanganya saruji, kokoto na mchanga ili kupata zege kwa ajili ya kuweka Jiwe la  Msingi ikiwa ni uzinduzi wa kuanza kwa ujenzi wa vyoo 22 kwenye Shule ya Msingi Kiboriloni, Mkoani Kilimanjaro. Uzinduzi huo ni tukio mojawapo kuelekea maadhimisho ya miaka 70 ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani