Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


taswira adimu ya lango kuu la kuingilia ukumbi wa bunge dodoma


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

 Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba,Mh. Pandu Kificho akisisitiza jambo wakati wa Kikao cha Bunge hilo,kinachoendelea leo kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.  Wajumbe wa Bunge la Katiba,Mh. Tundu Lissu na Mh. Jussa wakibadilishana mawazo wakati wa kikao cha Bunge la Katiba kinachoendelea leo Mjini Dodoma.  Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Edward Lowassa akifatilia kwa makini mjadala wa Bunge hilo,mjini Dodoma leo.  Mh. Anne Makinda akichangia Mapendekezo ya Rasimu ya Kanuni...

 

11 years ago

Michuzi

taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.  Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe Said Mtanda na wenzake  jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.   Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo...

 

5 years ago

Michuzi

UCHIMBAJI ENEO LA KINA CHA LANGO LA KUINGILIA MAJI KWENYE MITAMBO WAKAMILIKA KATIKA MRADI WA BWAWA LA KUFUA UMME LA MWALIMU NYERERE

UJENZI wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari mwaka 2022.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Msimamizi wa Ujenzi wa njia za maji pamoja na bwawa kwenye mradi huo Mhandisi Dismas Mbote amesema utekelezaji wa njia hiyo ulianza Mwezi Oktoba 2019 na kuongeza kazi ya uchimbaji wa lango imekamilika kwa kuchimbwa kina cha mita 53 ambapo hivi sasa kazi inayoendelea ni uondoaji...

 

5 years ago

Michuzi

PIC YAIPONGEZA TPA KWA KUTEKELEZA KWA UFANISI MRADI WA KUCHIMBA NA KUONGEZA KINA LANGO LA KUINGILIA NA KUGEUZIA MELI CHA BANDARI YA TANGA

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusdedit C.V. Kakoko akitoa taarifa ya Mpango wa Kitaasisi na Utendaji wa Bandari ya Tanga kwa Mwaka wa Fedha 2018/19 na Nusu Mwaka ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/2020 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ilipotembelea Bandari ya Tanga hivi karibuni.
 Sehemu ya wajumbe wa kamati hiyo wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano

  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA BUNGE LEO DODOMA

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akijibu maswali wakati wa kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni leo.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anne Kilango Malecela akijibu maswali ya wabunge.Baadhi ya Mawaziri wakiwa kwenye ukumbi wa BungeWaziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akiteta jambo na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Juma Nkamia Bungeni mjini Dodoma.Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Diana Chilolo akiuliza swali la nyongeza...

 

11 years ago

Michuzi

Taswira za za bunge maalum la katiba dodoma

 WABUNGE WAKIPITIA RASIMU YA MAPENDEKEZO YATAKAYO TUMIWA NA KIKAO CHA BUNGE LA  KUJADILI  RASIMU YA KATIBA MARA BAADA YA KUWASILISHA NA MWENYEKITI WA KAMATI ILIYO ANDAA RASIMU HIYO PROF.OSCAR MAHALU.PICHA NA DEUSDEDIT MOSHI WA GLOBU YA JAMII, DODOMA  MJUMBE AKICHANGIA. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

BUNGE LA VIJANA LAANZA VIKAO VYAKE KATIKA UKUMBI WA MSEKWA BUNGENI DODOMA

Picha na habari na  Owen Mwandumbya, Dodoma  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeandaa Bunge la Vijana linalofanyika Mjini Dodoma kwa siku tatu, ikiwa ni jitihada la kuwajengea uwezo vijana wa vyuo vikuu nchini. Bunge hilo liloanza vikao vyake juzi linalojumuisha Vijana kutoka Vyuo Vikuu 15 vya hapa Nchini vinavyozunguka mkoa wa Dodoma.  Bunge hilo linalotarajiwa kumalizika tarehe 3 Desemba, 2014, ni sehemu ya Mpango wa Elimu kwa Umma ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA KILIVYOENDESHWA JANA

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kushoto) akiongoza kikao cha Kamati Kuu Maalum cha CCM mjini Dodoma, Kikao kilichochuja majina ya wagombea na kupata majina matano. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa taarifa fupi ya wajumbe waliohudhuria kikao cha Kamati Kuu Maalum ambapo wajumbe 28 walihudhuria kati ya 32.… ...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta  na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,  Bungeni mjini Dodoma Machi 3,2014. Kushoto ni Kingunge Ngombale-Mwiru, Kulia ni Freeman Mbowe na Wapili kulia ni James Mbatia Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge  mjini Dodoma leo Machi 3, 2014 baada ya kusitishwa shughuli za Bunge Maalum  la Katiba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani