Taswira za za bunge maalum la katiba dodoma
WABUNGE WAKIPITIA RASIMU YA MAPENDEKEZO YATAKAYO TUMIWA NA KIKAO CHA BUNGE LA KUJADILI RASIMU YA KATIBA MARA BAADA YA KUWASILISHA NA MWENYEKITI WA KAMATI ILIYO ANDAA RASIMU HIYO PROF.OSCAR MAHALU.PICHA NA DEUSDEDIT MOSHI WA GLOBU YA JAMII, DODOMA MJUMBE AKICHANGIA. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi20 Feb
taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
Waziri Mkuu ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
Waziri Mkuu ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe Said Mtanda na wenzake jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo...
11 years ago
MichuziTaswira la Bunge Maalum la Katiba liivyoanza mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Muda wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Pandu Ameir Kificho akiwashukuru wajumbe wa Bunge hilo baada ya kuchaguliwa.
Muonekano wa Ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba wakati wajumbe wakisubiri kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa muda
Mchakato wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akifafanua jambo kabla ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba...
11 years ago
GPLTASWIRA KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Askofu Mkuu Mstaafu, Dr. Donald Mtetemela (kushoto) na Spika wa Bunge, Anne Makinda wakiteta Bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2014.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli akiapa mbele ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu (kushoto), Bungeni Mjini Dodoma Aprili 4, 2014.…
...
11 years ago
Michuzitaswira toka bunge maalum la katiba mjini dodoma leo
Mwenyekiti wa kamati ya maadili Mhe. Profesa Costa Mahalu akiteta jambo na katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Dkt. Thomas Kashilila kulia na Mhe.John Magufuli.
Spika wa Bunge la Jahmuri ya Muungano Mhe. Anna Makinda akijadiliana jambo na Mhe. Dkt Mohamed Seif Khatib
Wajumbe Mhe Machali na Mhe.Mchungaji Kadiva wakijadiliana
Waziri mkuu mstaafu Mhe Edward Lowassa kulia aliyekaa akijadiliana jambo na Mhe.Philemon Ndesamburo
Mhe.Andrew Chenge akijadiliana jambo na Mhe. Sadifa...
11 years ago
Michuzitaswira mbalimbali toka Bunge maalum la katiba mjini dodoma leo
Mwenyekiti wa kanuni za bunge maalum Mhe. Pandu Ameir kificho akiwasilisha mapendekezo ya kubadili kanuni leo asubuhi Makamu M/kiti Mhe.Samia Suluhu akiendesha kikao cha bunge maalum leo baada ya siku nne za vikao vya kamati kumi na mbili zilizo undwa kufanya vikao vyao bila kumaliza kujadili kifungu cha kwanza na kifungu cha sita cha rasimu ya katiba mpya.
Bunge limeahirishwa hadi alhamishi wiki hii kutoa fursa kwa kamati kuendelea na vikao. Wabunge wakijadili mabadiliko ya kanuni...
Bunge limeahirishwa hadi alhamishi wiki hii kutoa fursa kwa kamati kuendelea na vikao. Wabunge wakijadili mabadiliko ya kanuni...
10 years ago
GPLTASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta bungeni mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Ahmed Shabiby wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep 24, 2014.…
10 years ago
MichuziTASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda , Anna Abdallah...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania