Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONDIA MOHAMED MATUMLA AKABIDHIWA BODABODA YAKE

Meneja Mkuu wa Kampuni ya G S Group Limited wasambazaji wa pikipiki za Haojue ambao wametoa pikipiki hiyo, Bruce Shi akimpongeza bondia Mohamed Matumla baaa ya kumkabidhi pikipiki.
Promota wa Mapambano ya Masumbwi jijini Dar es Salaam, Kaike Siraju (katikati) akimwinua mkono juu bondia Mohamed Matumla baada ya kumkabidhi pikipiki yake aliyojishindia baada ya kumshinda mpinzani wake Nasibu Ramadhani wakati wa mpambano wao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BONDIA MOHAMED MATUMLA AMTANDIKA KWA POINT BONDIA WANG XIN HUA KUTOKA CHINA

Mwamuzi wa Mpambano wa Masumbwi uliowakutanisha mabondia Mohamed Matumla (Tanzania) na Wang Xin Hua (China) katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam usiku huu,akiwa amemnyanyua mkono Bondia Mohamed Matumla baada ya kumchapa kwa Point bondia mwenzake kutoka nchini China katika mpambano wa raundi 10 wa kuwania nafasi ya kucheza katika pambano la utangulizi kwenye mpambano mkali na unaosubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa masumbwi Duniani kati ya mabondia Floyd Mayweather, Jr. na...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA MOHAMED MATUMLA KUMVAA KOBA DONATI IDI PILI BAGAMOYO


Na Mwandishi Wetu
BONDIA Mohamed Matumla anatalajia kupanda tena uringoni siku ya Idi pili katika ukumbi wa TASUBA uliopo Bagamoyo Mkoa wa Pwani kupambana na Koba Nodat katika uzito wa KG 57 mpambano wa raundi sita Matmla anapambana mpambano uho baada ya mpambano wake wa mwisho kumtwanga Mchina kwa pointmratibu na promota wa mpambano uho Muhsin Sharif amesema amesema mbali na mpambano uho kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi litawakutanisha bondia Iddi Pialali kutoka Kiwangwa Bagamoyo...

 

10 years ago

Vijimambo

Bondia Mohamed Matumla Ashinda Pambano la Ngumi Dhidi ya Mchina Wang Xin Hua Jana


Bondia Mohamed Matumla amemchapa mpinzani wake raia wa China, Wang Xin Hua kwa pointi. Matumla ameshinda pambano hilo la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF la raundi 12 uzani wa Bantam lililopigwa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam na sasa baada ya kushinda atapata nafasi ya kupanda ulingoni Jijini Las Vegas kwenye pamambano la Mayweather na Pacquiao na bondia atakae pangiwa katika mapamabo ya utangulizi siku hiyo ya May 2.

 

10 years ago

Michuzi

Bondia wa zamani Francois Botha azungumzia mpambano kati ya Mohamed Matumla na Mchina Wang Xin Hua

Bondia wa zamani wa uzito juu Duniani,Francois Botha (kulia) akiwa na Mtangazaji machachari wa Michezo hapa nchini kupitia Kituo cha Redio EFM,Maulid Baraka Kitenge mara baada ya kufanya nae Mahojino katika kipindi cha Sports Headquartes mapema leo asubuhi.Botha yupo jijini Dar tayari kushuhudia pambano la Kimataifa la Masumbwi la Mtanzania Mohamed Matumla na Mchina Wang Xin Hua ambao litakalopigwa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Ijumaa Machi 27,2015. 

 

10 years ago

Vijimambo

NASSIBU RAMADHANI ADROO NA MOHAMED MATUMLA

Bondia Mohamed Matumla kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Nasibu Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa Frends Corne Manzese Dar es salaam mpambano huo ulitoka droo za kufungana point Bondia Mohamed Matumla kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Nasibu Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa Frends Corne Manzese Dar es salaam mpambano huo ulitoka droo za kufungana pointBondia Lulu Kayage akioneshana...

 

10 years ago

Michuzi

Bondio Mohamed Matumla kuzichapa na Mchina machi 27

Bondia Mohamed Matumla atapanda ulingoni kuzichapa kuwania ubingwa wa dunia wa WBF Machi 27 dhidi ya Wang Xin Hua wa China.
Pambano hilo la raundi 12 la uzani wa Bantam limepangwa kufanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa pia na bingwa wa zamani wa dunia wa uzani wa juu, Francois Botha.
Promota wa pambano hilo, Jay Msangi alisema jana kuwa maandalizi yote yamekamilika na pambano litasimamiwa na Shirikisho la ngumi la dunia la WBF ambaye rais wake atawasili...

 

11 years ago

GPL

MOHAMED MATUMLA AMGALAGAZA NASSIBU RAMADHANI KWA POINTI,AIBUKA NA PIKIPIKI

Bondia Mohammed Matumla (kushoto) akimwadhibu Nassibu Ramadhani wakati wa mpambano wao wa raundi kumi uliofanyika siku ya sikukuu ya Krismasi na kugombania pikipiki yenye thamani ya shilingi milioni 1.9 Matumla alishinda kwa pointi mpambano huo na kuibuka na bodaboda.
Bondia Mohamed Matumla (kushoto) akipambana na Nassibu Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika jana ambapo Matumla alishinda kwa pointi.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani