BONGO MOVIE KUWASOMEA DUA WASANII MBALIMBALI WALIOFARIKI DUNIA
Wasanii wa Bongo movie wanatarajia kufanya hitma ya wasanii mbalimbali waliofariki dunia katika uwanja wa Mnazi Mmoja tarehe 16 mwezi huu.
Akizungumza na leo tena, Mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Nyerere alisema kuwa katika hitma hiyo watakuwepo wageni mbalimbali kama Sheikh Mkuu wa Mkoa na wachungaji mbalimbali, Mama Salma Kikwete, Mama Pinda na wengineo na hitma hiyo itaanza kuanzia saa nne asubuhi.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWASANII WA BONGO MOVIE WAWAOMBEA DUA WASANII WENZAO WALIOFARIKI DUNIA
5 years ago
Bongo514 Feb
Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili
Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.
Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva
Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao
“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...
10 years ago
Bongo Movies19 Aug
MPASUKO Bongo movies! Steve nyerere adaiwa kuingia mitini na hela za maandalizi ya maombi ya wasanii waliofariki
Klabu ya Bongo Movie Unity imedaiwa kuingia kwenye mpasuko mkubwa baada ya baadhi ya viongozi kutangaza kuachia ngazi kwa madai ya kuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amechikichia mtonyo (fedha) mwingi wa klabu kwa masilahi yake
Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho ndani ya klabu hiyo, juzikati viongozi wote wa klabu hiyo walikaa kikao kilichoitishwa na katibu wao, William Mtitu ambacho kilikuwa na lengo la kujadili jinsi ya kumwajibisha Steve Nyerere kwa madai hayo.
“Kuna...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-F2iBIVWAaJo/UwR0ClnihaI/AAAAAAAFN6g/KTEQC3yO49E/s72-c/unnamed+(56).jpg)
maandalizi ya Semina ya Wasanii Bongo Movie
![](http://3.bp.blogspot.com/-F2iBIVWAaJo/UwR0ClnihaI/AAAAAAAFN6g/KTEQC3yO49E/s1600/unnamed+(56).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-emtFIz_2m74/UwR0CvbCqUI/AAAAAAAFN6c/w4TG-ZD7-ZM/s1600/unnamed+(57).jpg)
11 years ago
MichuziWASANII WA BONGO MOVIE WAJIUNGA NA MFUKO WA GEPF
9 years ago
Bongo Movies25 Nov
Wasanii Bongo Movie Hawana Mawazo- Lulu
MWIGIZAJI wa kike wa filamu aghari Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kuwa wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana wala kufikiria mambo makubwa kuhusu wanachokifanya bali ufanya tu kwa sababu wapo na jamii inawaona jambo ambalo anahisi Bongo fleva wamewazidi kuwaza.
“Unawaza kwanza kisha unatenda wasanii wa filamu hawana mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo, leo unakuta wasanii wa Bongo fleva wanatoka nje wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...