BOSI WA AMAZON AZOA BILIONI 24 KUTOKANA NA MLIPUKO WA CORONA
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESMwanzilishi wa kampuni ya Amazon ameshuhudia utajiri wake ukichupa kwa kiasi cha dola bilioni 24 (sawa na pauni bilioni 19) kutokana na uhitaji mkubwa wa manunuzi kwa njia ya mtandao.Jeff Bezos sasa ana utajiri wa dola bilioni 138, kwa mujibu wa orodha ya mabilionea inayojumuisha na jarida maarufu la biashara la Bloomberg, akisalia katika nafasi yake kuwa ni mtu tajiri zaidi duniani.Amazon imepata faida zaidi kutokana na manunuzi yaliyofanywa na watu ambao...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili20 Apr
Virusi vya corona:Bosi wa Amazon azoa bilioni 24 kutokana na mlipuko wa virusi
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Maelfu wahamisha kutokana na mlipuko wa volkeno-Java
5 years ago
BBCSwahili03 Apr
Coronavirus: Je dunia imepata funzo gani kutokana na mlipuko wa Ebola DRC?
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Virusi vya Corona: Uhamiaji wa nchini Marekani kusitishwa kutokana na janga la corona, asema Trump
5 years ago
BBCSwahili17 Apr
Virusi ya corona: Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa corona - yaonya WHO
5 years ago
BBCSwahili20 Apr
Virusi vya Corona: Jinsi mlipuko wa corona unavyochochea chuki dhidi ya Waislamu India
5 years ago
BBCSwahili10 May
Virusi vya corona: Eric Yuan, bilionea aliyetajirika kutokana na corona na kwa nini aliomba msamaha
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Virusi vya Corona: Mama yake meneja wa Manchester City Pep Gardiola afariki kutokana na corona
5 years ago
BBCSwahili26 Jun
Virusi vya corona: Wizara ya fedha yatuma dola bilioni 1.4 za corona kwa watu waliokufa