Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BPESA YAJITANUA ZAIDI KUPITIA I&M BANK

Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa kadi mpya ya B PESA ya banki ya I&M,Kamada wa Polisi Kanda Dar es Salaam,CP Suileman Kova (wa pili kushoto) akiwa pamoja na viongozi wa Banki ya I&M wakipiga makofi mara baada ya uzinduzi wa kadi hiyo,uliofanyika kwenye ukumbi wa Marquee ndani ya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.toka kulia ni Mkurugenzi mkuu wa I&M Bank, Anurag Dureha,Kaimu Mkurugenzi wa banki ya I&M, Shameer Patel ,Mkurugenzi wa banki ya I&M (Arusha),Michael Shirima pamoja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA KUWANIA URAIS KUPITIA CHADEMA, ADHAMINIWA NA ZAIDI YA WANANZANIA ZAIDI YA MIL. 1.6

 Mtangaza nia ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiwapungia maelfu ya wafuasi na wapenzi wa Chama hicho, wakati alipowasili kwenye Ofisi ya Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Jijini Dar es Salaam jioni ya leo. Mh. Lowassa alifika ofisini hapo kurudisha fomu za kuomba ridhaa ya Chama hicho, kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.Kulia kwake ni Mbunge wa...

 

11 years ago

Mwananchi

China yajitanua kibiashara Ulaya

Baada ya kujikita kibiashara katika mataifa mbalimbali yanayoendelea, sasa imeanza kuelekeza nguvu kwenye nchi zilizoendelea kiuchumi.

 

10 years ago

TheCitizen

I&M Bank, tech firm in e-payment agreement

>I & M Bank and Smart Banking Solutions (SBS) have signed a deal that will see the former issuing the latter’s prepaid cards to its clients.

 

9 years ago

Michuzi

ROTARY CLUBS & BANK M TEAM UP FOR A HEALTHCARE FACILITY

 Bank M's Deputy CEO Ms. Jacqueline Woiso (second right) and the Rotary Dar Marathon Board Chair Ms. Sharmila Bhatt (second left) signing the partnership agreement during the official signing ceremony held at the Hyatt Regency today. The DSM Rotary clubs and Bank M team up for the Dar rotary Marathon 2015 scheduled to take place on the 14th October 2015 with the theme "Healing lives, transforming commnities" whereby proceed will be directed towards the construction of a healthcare facility...

 

10 years ago

Leicester Mercury

Cambridge & Counties Bank collect gifts for autistic Tanzania children


Leicester Mercury
Cambridge & Counties Bank collect gifts for autistic Tanzania children
Leicester Mercury
Children with autism in Tanzania will be receiving a delivery with a difference – thanks to a bank, its staff and its contacts. Iestyn Evans, chief operating officer at Cambridge & Counties Bank, has jetted off on a charity trek up Mount Kilimanjaro. While in ...

 

9 years ago

BBCSwahili

IS lajipatia zaidi ya $500m kupitia mafuta

Kundi la wapiganaji wa Islamic State limejipatia zaidi ya dola milioni 500 kupitia uuzaji wa mafuta kulingana na afisa mmoja wa wizara ya fedha nchini Marekani.

 

10 years ago

Michuzi

BANK M KUBORESHA ZAIDI HUDUMA KWA WATEJA WAKE

 Naibu Mkurugenzi wa Habari wa Bank M,Allan Msalilwa akizungumza na waandishi habari (hawapo pichani) katika Ukumbi wa Hayyat Regency ,jijini Dar es Salaam juu ya huduma zinazotolewa na benki hiyo.Afisa Mtendaji Mkuu Biashara wa Bank M,Jacqueline Woiso akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu uboreshaji wa huduma kwa wateja wa benki hiyo.======= ======== ======== ===========Na Chalila Kibuda na Globu ya Jamii,Dar.


Benki M imesema imeendelea kuboresha huduma kwa...

 

11 years ago

Ykileo

KUPERUZI KUPITIA WI-FI NI HATARI ZAIDI KIUSALAMA MTANDAO

“Pale mtumia mtandao anapotumia Wi-Fi ilikupata intaneti anajiweka katika hali tativu  kiusalama mtandao zaidi ya Yule anae tumia mtandao unaotumia nyaya za intaneti – Kwa lugha ya kingereza, wireless LAN is more vulnerable to cyber-attacks compare to wired LAN” – Yusuph Kileo.


Haya niliyabainisha wakati nazungumzia changamoto mbali mbali tunazokumbana nazo za kiusalama mtandao kupitia matumizi yasiyo salama ya Wi-Fi yanayo endelea kushika kasi kaika maeneo mbali mbali hivi...

 

10 years ago

Michuzi

ZAIDI YA BILIONI 29 ZINAWASUBIRI WATEJA WA VODACOM KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS

Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions kwa kutuma ujumbe wenye neno JAY kwenye namba 15544 ili kujua kama iwapo namba zao zimeibuka na ushindi katika droo inayofanyika kila siku.
Akiongea baada ya kumalizika kwa droo ya sita ya promosheni hiyo ambayo ilifanyikiwa kupata washindi wa muda wa maongezi kufikia idadi ya 947 na kutokufanikiwa kupata mshindi wa fedha taslimu na kubakia na idadi ileile ya washindi watano waliojishindia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani