IS lajipatia zaidi ya $500m kupitia mafuta
Kundi la wapiganaji wa Islamic State limejipatia zaidi ya dola milioni 500 kupitia uuzaji wa mafuta kulingana na afisa mmoja wa wizara ya fedha nchini Marekani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-J8nPCmTttsU/XrpavNnuVVI/AAAAAAALp3A/Tkm_GdJVX8snL2--OHwlxbDJYszmi0DegCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B3.jpg)
EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.
![](https://1.bp.blogspot.com/-J8nPCmTttsU/XrpavNnuVVI/AAAAAAALp3A/Tkm_GdJVX8snL2--OHwlxbDJYszmi0DegCLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B3.jpg)
Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.
![](https://1.bp.blogspot.com/-KizeE0XqwiY/XrpavnCZSHI/AAAAAAALp3E/OlsgDnTG8EMM_llMxefz8sbypBsgsCgIACLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B4.jpg)
Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.
![](https://1.bp.blogspot.com/-rZ963RWU-wc/Xrpav5vjNDI/AAAAAAALp3I/cn3LiMHp6nEX5Ttle59mKCBn02Mo6fiGQCLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B5.jpg)
Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-u0bUiztYm98/VbzjkqYw4BI/AAAAAAAHtC4/y5GgwRvOGwY/s72-c/MMGL3284.jpg)
LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA KUWANIA URAIS KUPITIA CHADEMA, ADHAMINIWA NA ZAIDI YA WANANZANIA ZAIDI YA MIL. 1.6
![](http://1.bp.blogspot.com/-u0bUiztYm98/VbzjkqYw4BI/AAAAAAAHtC4/y5GgwRvOGwY/s640/MMGL3284.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-LJ-Vd5Gz7bY/VbzjnXGvIII/AAAAAAAHtDM/bi0pM0ml8R0/s640/MMGL3330.jpg)
11 years ago
MichuziWANANCHI KUNUNUA MAFUTA YA GARI KUPITIA M PESA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-gvxRE_HfZpg/VArTulnMtXI/AAAAAAAGfsg/YKgykzTHpy8/s72-c/unnamed%2B(59).jpg)
KAMPUNI YA CORONA(T)LTD NI KINARA WA KUJAZA MAFUTA KUPITIA HUDUMA YA M PESA YA VODACOM
![](http://1.bp.blogspot.com/-gvxRE_HfZpg/VArTulnMtXI/AAAAAAAGfsg/YKgykzTHpy8/s1600/unnamed%2B(59).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ESy03VwS5Zl2u*pBxfG3FnbBMAPSGH32pVc3BHJOpnSGT-a6TY75dMAR8i4qLwtlINvp5adUemyqQs9GqlZlG-nKZ*zsP9Gn/001.OILCOM.jpg?width=650)
KAMPUNI YA CORONA (T) LTD NI KINARA WA KUJAZA MAFUTA KUPITIA HUDUMA YA M PESA YA VODACOM
Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Salum Mwalim (kushoto)akiongea jambo kwa Wafanyakazi wa Kampuni ya Corona (T) Ltd baada ya kampuni hiyo kuibuka kinara wa utumiaji wa huduma ya M-pesa wanapojaza mafuta kwenye vituo vya OilCom( wapili kutoka kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Raphael Habiyaremye ,Meneja uendeshaji wa Corona Faiza Kijangwa, Meneja Utawala wa Corona Norah Christopher, Meneja wa Maswala...
10 years ago
BBCSwahili10 Jan
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
Bei ya Mafuta yashuka zaidi Tanzania
Mamlaka ya udhibiti wa Nishati ,Maji na mafuta EWURA nchini Tanzania imetangaza punguzo la jingine la mafuta nchini
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
EWURA yaagizwa kupunguza zaidi bei ya mafuta
NA WAANDISHI WETU
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetakiwa kuhakikisha inaendelea kupunguza bei ya mafuta kulingana na mabadiliko katika soko la dunia. Agizo hilo limetolewa jana na Kamati ya PAC wakati ilipokutana na watendaji na maofisa wa EWURA, ambapo imesema ni lazima bei ya mafuta nchini ibadilike kulingana na bei ya soko duniani. Makamu Mwenyekiti wa PAC, Ismail Aden Rage, alisema bei ya mafuta kwenye soko la dunia imepungua kwa asilimia 25, hivyo mamlaka...
10 years ago
MichuziBPESA YAJITANUA ZAIDI KUPITIA I&M BANK
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania