Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BRAZIL 2014: Kumbe tunakosea kulitamka jina la Maximo

Marcio Maximo amerudi Tanzania, kwa ajili ya kuinoa klabu ya Yanga inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Kumbe Messi ni kama mchawi

"Jumanne mashabiki wa Argentina walikuwa wamejaa katika mitaa ya Sao Paulo kwa ajili ya pambano lao dhidi ya Uswisi. Katika treni wakati naelekea uwanjani nilikumbana nao na maswali yangu kwao yalihusu unahodha wa Lionel Messi katika timu yao."

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Uwanja kupewa jina la Tim Howard

Ushujaa wa Tim Howard kwenye mechi ya hatua ya 16 bora dhidi ya Ubelgiji ambako aliokoa mashuti hatari 16 yamechochea kipa huyo kugeuka kipenzi cha wengi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maximo aaga Yanga arudi kwao Brazil

Aliyekuwa kocha wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo ameondoka kurudi kwao Brazil na kuitakia klabu yake ya zamani kila la kheri.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: PIGO LA KARNE: Majonzi, vilio kila kona Brazil

>Vilio, majonzi vilitawala kila ni kona ya Brazil baada ya kupokea kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 7-1kutoka kwa Ujerumani katika nusu fainali ya kwanzajana kwenye Uwanja wa Mineirao.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Brazil yakata rufaa kadi za njano za Thiago Silva

>Brazil imekata rufaa juu ya adhabu ya kukosa mchezo mmoja kwa nahodha wake, Thiago Silva mwenye kadi mbili za njano, ambazo zinamaanisha atalazimika kukosa mchezo wa leo dhidi ya Ujerumani.

 

11 years ago

TheCitizen

BRAZIL 2014: Brazil face Chile as Suarez-less Uruguay confront Colombia

>From 32, it’s down to the last 16. Here there are no second chances. It is win or bust.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Rio awatabiria akina Pogba kung’ara Brazil

Ferdinand, ambaye amestaafu kuchezea timu ya taifa, atakuwa mmoja wa wachambuzi wa michuano hiyo ya mwaka huu inayoanza wiki hii.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Gustavo pigo kwa Brazil dhidi ya Colombia leo

Licha ya kuwa Neymar ndiye mchezaji anayetajwa zaidi na kuonekana msaada mkubwa katika kikosi cha Brazil, pia uwepo wa Oscar, Thiago Silva na David Luiz unaonekana kuwa muhimu uwanjani.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Ishu ya posho yamalizwa, Cameroon yaenda Brazil

Kikosi hicho, ambacho pia kinamjumuisha mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Samuel Eto’o, kiligoma kuondoka nchini humo juzi kutokana na tatizo la posho zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani