Breaking News!!! Mabasi Ubungo yagoma asubuhi
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa umati mkubwa wa abiria wameanza kupata taabu ya usafiri baada ya baadhi ya mabasi kuanza mgomo baridi.
Mgomo huo umeanza muda huu katika kituo cha mabasi cha Ubungo, hata hivyo baadhi ya mabasi yaliyokuwa yakielekea safari zake nje ya nchi ya Tanzania na baadhi yao yalibahatika kuanza safari yakitokea katika kituo hicho kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani na nchi jirani..
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia hivi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Breaking News!!! Â Mabomu ya Machozi yanarindima muda huu Kituo cha Mabasi Ubungo hali mbaya mgomo wa madereva
Katibu wa Madereva Mboka akiongea na wandishi wa Habari muda huu, kabla ya mabomu hayajarindima
…Mgomo wa Mabasi kuwa endelevu hadi watakapo achiwa viongozi wao wanaoshikiliwa na jeshi la Polisi
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Modewji blog ambayo imepiga kambi katika kituo cha Mabasi Ubungo kuanzia majira ya saa 11, alfajiri, ni kuwa tayari baadhi ya viongozi wa madereva wametoa tamko rasmi kuwa mgomo wao huo utaendelea hadi hapo viongozi wao wakuu zaidi ya Sita (6) wanaoshikiliwa na...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-I2L9RxSe4U0/VX6Gp_kJbcI/AAAAAAABQNI/DLiflAhZ77A/s72-c/MSIKITI.2.jpg)
BREAKING NEWS: MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ISSA SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI
![](http://3.bp.blogspot.com/-I2L9RxSe4U0/VX6Gp_kJbcI/AAAAAAABQNI/DLiflAhZ77A/s640/MSIKITI.2.jpg)
Habari zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki dunia.Akidhibitisha kutokea kwa kifo hicho Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi Mussa Salim amesema Mufti amefikwa na umauti hii leo asubuhi."Ni kweli Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki hii leo asubuhi kwa maradhi ya sukari na presha," alisema kwa ufupi Sheikh...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hfHMA2pURk6yTWkjGbRm1GoJTvnltu4RmnFJmsTib5aWw9uBkZzZM3xUj9K0VLT4CtHrlMfPOUkMNgcHOSBTY0D/breakingnews.gif)
MGOMO WA MABASI STENDI YA UBUNGO
11 years ago
Mwananchi20 Dec
Usafiri wa mabasi ya mikoani Ubungo balaa
10 years ago
Mtanzania03 Mar
Kituo cha mabasi Ubungo ‘kinavyotafunwa’
Katika gazeti hili toleo la jana, tuliaandika namna mapato yanayopatikana katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo, (UBT) kilichopo jijini Dar es Salaam, yanavyokusanywa na kuishia mikononi mwa watu wachache huku miundombinu yake ikizidi kudorora.
Watoto walala juu ya miti
Gazeti hili lilibaini kuwapo kundi kubwa la watoto kutoka mikoa mbalimbali wamejenga makazi yao ya kudumu katika eneo hilo na kuwa sehemu ya maisha yao.
Jua linapozama watoto hao wenye umri kati ya miaka 7 hadi...
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Utapeli wakithiri Kituo cha Mabasi Ubungo
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Kero za wasafiri Kituo cha Mabasi Ubungo