Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usafiri wa mabasi ya mikoani Ubungo balaa

Hali ya usafiri kwenye kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo (UBT) ni mbaya hasa kwa mabasi yanayokwenda Kilimanjaro na Arusha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

ABILIA WAKIWA STENDI KUU YA MABASI YA KWENDA MIKOANI (UBUNGO)

Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam wakisubilia usafili wa kuelekea Mikoa mbalimbali, leo.
Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam, wakiimalisha usalama wa malizao, leo.Abilia wakiwa wamejipumzisha chini ya mti katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam leo.Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii.

 

10 years ago

Mwananchi

Nauli za mabasi mikoani zashuka

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imepunguza nauli za mabasi ya mikoani huku ikitangaza kubaki kama zilivyokuwa, zile za daladala baada ya ukokotoaji wake kuonyesha tofauti ndogo ya punguzo kulinganisha na viwango vya sasa.

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra kubana mabasi ya mikoani

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (Sumatra) imebaini baadhi ya mabasi yaendayo mikoani, yameondoa orodha ya namba za simu zilizobandikwa na hivyo kuagiza kufikia leo, ziwe zimebandikwa.

 

10 years ago

GPL

MABASI YA MIKOANI KUKAGULIWA LESENI DAR

Askari wa usalama barabarani wakikagua mabasi ya mikoani.…

 

10 years ago

Mwananchi

Vituo mabasi yaendayo mikoani vijengwe sasa

Kama kuna jambo ambalo Serikali itakuja kulijutia muda si mrefu kutoka sasa; ni ucheleweshaji usio na sababu wa ujenzi wa vituo vya mabasi yaendayo mikoani kutoka jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Ujenzi kituo cha mabasi mikoani ‘danadana’

Ujenzi wa kituo cha mabasi ya mikoani, eneo la Mbezi Luis, uko njia panda kutokana na kukosekana fedha kutoka kwa wabia wa mradi huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanafunzi wakwama usafiri Ubungo

Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ni miongoni mwa watu walioathirika kutokana na adha ya usafiri iliyojitokeza katika Stendi Kuu ya Mabasi Unungo (UBT) .

 

10 years ago

Habarileo

Mgomo wa mabasi balaa

Mabasi ya abiria yafanyayo safari zake mikoani yakiwa Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo Dar es Salaam jana wakati madereva wakiwa katika mgomo wa kudai maslahi yao kutoka kwa waajiri.(Na Mpigapicha Wetu).MGOMO wa mabasi ulioibuka jana, umeitikisa nchi kiasi cha kusimamisha shughuli nyingi na kusababisha adha kwa wadau katika sekta nzima ya usafirishaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani