Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi wakwama usafiri Ubungo

Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ni miongoni mwa watu walioathirika kutokana na adha ya usafiri iliyojitokeza katika Stendi Kuu ya Mabasi Unungo (UBT) .

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maelfu ya abiria wakwama Ubungo

Uharibifu wa barabara uliotokana na mvua zinazoendelea kunyesha, umeendelea kuwatesa wakazi wa Dar es Salaam na mikoa mbalimbali nchini hasa baada ya mabasi ya mikoani kuzuiwa kufanya safari zake jana.

 

11 years ago

Mwananchi

Usafiri wa mabasi ya mikoani Ubungo balaa

Hali ya usafiri kwenye kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo (UBT) ni mbaya hasa kwa mabasi yanayokwenda Kilimanjaro na Arusha.

 

11 years ago

Mwananchi

Usafiri kituo cha Ubungo sasa ‘poa’

>Hali ya usafiri katika Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo,  imerejea kuwa ya kawaida.

 

5 years ago

CCM Blog

MUONEKANO WA BARABARA ZA JUU UBUNGO DAR, VYOMBO VYA USAFIRI VYAANZA KUPITA


Ni Mei 30, 2020 ambapo Barabara za juu (Flyover ) iliyojengwa Ubungo Dar es Salaam  imeanza kufanya kazi ambapo vyombo vy usafiri vimeruhusiwa kupitia, hapa nimekusogezea picha 11 ujionee.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

 

10 years ago

GPL

POMBE YA MBEGE YAZUA TIMBWILI NI MCHANA KWEUPE, AFUNGA BARABARA, USAFIRI UBUNGO WATIBUKA

DEOGRATIUS MONGELA NA CHANDE ABDALLAH ULEVI asubuhi! Pombe maarufu kwa jina la Mbege hivi karibuni ilizua timbwili la aina yake baada ya mama anayeuza kilevi hicho maarufu mama Manka kulazimika kuwajia juu wateja wake wawili ambao ni makondakta wa mabasi yaendayo mikoani katika stendi kuu ya Ubungo jijini Dar es Salaam. Shuhuda wa tukio hilo lililojaza watu alisema lilitokea asubuhi ya Machi 20, mwaka huu chini ya daraja jipya...

 

10 years ago

Dewji Blog

NEWS ALERT!!! Mgomo wa madereva tena hali tete Ubungo na baadhi ya maeneo usafiri kizungumkuti!!

moshi-640x360

Eneo la Ubungo ambalo kwa sasa mabasi yamegoma abiria wakiwa hawana la kujua nini la kufanya !!!!! taaarifa na picha zaidi zitaendelea kutolewa na mtandao huu ambao upo eneo la tukio!!.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

New Alert Mgomo wa madereva Saga! ni kuwa tayari madereva wa mabasi wamegoma tena siku ya leo Mei 4, kutokana na mashiniko mbalimbali ya madai yao kwa Serikali. Hata hivyo hali kwa Ubungo bado ni tete licha ya vulumai ya hapa na pale ikiwemo askari wa usalama barabarani...

 

10 years ago

StarTV

Wanaonyanyasa wanafunzi katika usafiri watakiwa kushughulikiwa.

Na Abdalla Pandu,

Zanzibar.

 

Wakati umefika kwa wadau mbalimbali kuhakikisha wanasimamia kikamilifu sheria za daladala juu ya kuwabeba wanafunzi ili kuondoa manyanyaso yanayofanywa na madereva na makondakta dhidi ya wanafunzi wakati wa kwenda shule ama kurejea nyumbani.

 

Jumuiya ya Serikali za wanafunzi visiwani Zanzibar imeamua kuwaalika wadau mbalimbali wanaohusika na usafirishaji pamoja na wasimamizi wa sheria ili kulitafutia ufumbuzi suala la manyanyaso wanayoyapata wanafunzi ambayo...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Adha ya usafiri kwa wanafunzi na mustakabali wetu

WAKATI mikakati mbalimbali ya kuongeza kiwango cha elimu kwa wanafunzi ikiendelea kufanyiwa kazi, bado kuna changamoto ya usafiri wa uhakika kwa wanafunzi haujaangaliwa kwa jicho la umakini.

Inawezekana likaonekana suala la kawaida kwa sababu limepigiwa kelele kwa muda mrefu, lakini mwanafunzi anahitaji kuwa na utulivu wa akili anapoamka na anaporudi nyumbani kutoka shule. Yote yanakamilika kwa kupata nyenzo nzuri ya kumpeleka shule asubuhi na kumrudisha nyumbani jioni. “Changamoto...

 

11 years ago

Michuzi

UDA KUTOA VITAMBULISHO MAALUM VYA USAFIRI KWA WANAFUNZI

Na Anna Nkinda – Maelezo
Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaandaa mkakati wa kusafirisha wanafunzi kwa vitambulisho maalum vya wanafunzi kwa bei naafuu kwa kutumia mabasi ya UDA  kwenda shule za pembezoni.
Hayo yamesemwa hivi karibuni na Afisa Elimu Sekondari wilaya ya Kinondoni Omath Sanga wakati akisoma taarifa ya Idara ya Elimu kwa Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alipoitembelea shule ya Sekondari ya Kata ya Salma Kikwete iliyopo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani