Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MABASI YA MIKOANI KUKAGULIWA LESENI DAR

Askari wa usalama barabarani wakikagua mabasi ya mikoani.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nauli za mabasi mikoani zashuka

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imepunguza nauli za mabasi ya mikoani huku ikitangaza kubaki kama zilivyokuwa, zile za daladala baada ya ukokotoaji wake kuonyesha tofauti ndogo ya punguzo kulinganisha na viwango vya sasa.

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra kubana mabasi ya mikoani

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (Sumatra) imebaini baadhi ya mabasi yaendayo mikoani, yameondoa orodha ya namba za simu zilizobandikwa na hivyo kuagiza kufikia leo, ziwe zimebandikwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Usafiri wa mabasi ya mikoani Ubungo balaa

Hali ya usafiri kwenye kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo (UBT) ni mbaya hasa kwa mabasi yanayokwenda Kilimanjaro na Arusha.

 

11 years ago

Mwananchi

Ujenzi kituo cha mabasi mikoani ‘danadana’

Ujenzi wa kituo cha mabasi ya mikoani, eneo la Mbezi Luis, uko njia panda kutokana na kukosekana fedha kutoka kwa wabia wa mradi huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Vituo mabasi yaendayo mikoani vijengwe sasa

Kama kuna jambo ambalo Serikali itakuja kulijutia muda si mrefu kutoka sasa; ni ucheleweshaji usio na sababu wa ujenzi wa vituo vya mabasi yaendayo mikoani kutoka jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

ABILIA WAKIWA STENDI KUU YA MABASI YA KWENDA MIKOANI (UBUNGO)

Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam wakisubilia usafili wa kuelekea Mikoa mbalimbali, leo.
Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam, wakiimalisha usalama wa malizao, leo.Abilia wakiwa wamejipumzisha chini ya mti katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam leo.Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii.

 

11 years ago

Michuzi

hoja ya haja: Stendi ya Mabasi ya Mikoani Mbezi Luis au Luguruni?

Moja ya kero kubwa hapa Dar ni msongamano unaotokana na kutopangilia miundombinu na huduma vizuri. Kwenye magazeti ya siku za karibuni, imeripotiwa kuwa mpango wa kujenga stendi ya mabasi yaendayo mikoani eneo la Mbezi Luis umekwama kwa sababu eneo lile halifai kutokana na kuwepo mkondo wa maji.   Nimekuwa najiuliza kwa nini kujengwa stendi pale mahali hajapapimwa (hivyo ni vigumu kujengwa huduma za mahoteli, nk na kumwaga maji taka)... wakati mbele kidogo tu pale Luguruni kuna eneo kubwa...

 

10 years ago

Michuzi

SUMATRA yaanza ukaguzi wa tiketi katika mabasi yaendayo mikoani

 Mamlaka ya Usafirishaji Tanzania (SUMATRA) imeanza ukaguzi wa nauli katika vyombo vya usafirishaji hapa nchini hasa kwenye mabasi ya abiria yaendayo mikoani kutokea jijini Dar es salaam.
SUMATRA imefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwa kuna baadhi ya vyombo vya usafiri hasa mabasi ya Mikoani kuwa na tabia ya kuongeza nauli hasa katika kipindi hiki cha msimu sikukuu za Krismas na Mwaka mpya,ambapo mapema leo asubuhi maafisa wa Mamlaka ya Usafirishaji Tanzania (SUMATRA) walitia timu katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani