BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe.
BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo nilichopiga kura mimi. Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe. Kituo namba 1. Kura za Maalim Seif ni 317 na za Dk Shein ni 5. Kituo namba […]
The post BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe. appeared first on Mzalendo.net.
Mzalendo Zanzibar
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi12 Feb
BREAKING NEWS;KITUO CHA POLISI MOSHI KINAWAKA MOTO
HABARI ZAIDI TUTAZIDI KUWALETEA KADIRI YA ZITAKAVYOKUWA ZIKIINGIA.
10 years ago
VijimamboKISWA CHA KOJANI WILAYA YA WETE PEMBA
10 years ago
VijimamboUSAFI WA MAZINGIRA KIJIJI CHA KOJANI WILAYA YA WETE, PEMBA
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Breaking News!!! Â Mabomu ya Machozi yanarindima muda huu Kituo cha Mabasi Ubungo hali mbaya mgomo wa madereva
Katibu wa Madereva Mboka akiongea na wandishi wa Habari muda huu, kabla ya mabomu hayajarindima
…Mgomo wa Mabasi kuwa endelevu hadi watakapo achiwa viongozi wao wanaoshikiliwa na jeshi la Polisi
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Modewji blog ambayo imepiga kambi katika kituo cha Mabasi Ubungo kuanzia majira ya saa 11, alfajiri, ni kuwa tayari baadhi ya viongozi wa madereva wametoa tamko rasmi kuwa mgomo wao huo utaendelea hadi hapo viongozi wao wakuu zaidi ya Sita (6) wanaoshikiliwa na...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA KOMPYUTA CHA SKULI YA KIEMBE SAMAKI ZANZIBAR WAFANYIKA
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA KOMPYUTA CHA SKULI YA KIEMBE SAMAKI ZANZIBAR WAFANYIKA
9 years ago
MichuziMbunge wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Abaas Mwinyi Atimiza Ahadi Zake kwa Kituo cha Afya Fuoni kwa Kukabidhi Dawa na Masinki ya Vyoo kwa Kituo Hicho.
9 years ago
Dewji Blog19 Sep
Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19
Kituo cha Mazoezi cha Home Gym…
Na Andrew Chale, modewjiblog
[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.
Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...
9 years ago
MichuziTPB YAKADIDHI JENGO LA KITUO CHA AFYA PEMBA