Bring on El Merreikh, say Azam
Coaches and officials of Azam FC and Young Africans were quick to react following Monday’s draws for the 19th edition of the Orange CAF Champions League 2015 and the 12th Orange CAF Confederation Cup.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Dec
Azam fc kuanza na El Merreikh
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Azam kukabiliana na hujuma za Merreikh
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam FC wamejipanga kukabiliana na hujuma zozote kutoka kwa El Merreikh katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Azam juzi iliwafunga miamba hiyo ya Sudan mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, mchezo wa marudiano utafanyika jijini Khartoum, Sudan.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Katibu Mkuu wa Azam, Nassor Idrissa, alisema wanajua mbinu chafu za nje ya...
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Yanga, Azam tayari kwa El-Merreikh
10 years ago
TheCitizen28 Feb
Azam ready to send El-Merreikh packing
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Azam iko tayari kuivaa El Merreikh
10 years ago
Mwananchi16 Feb
LIGI YA MABINGWA: Azam yaizima El Merreikh
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Yanga, Azam pongezi kuwadunda El-Merreikh, BDF XI
10 years ago
VijimamboAZAM FC YAIBAMIZA EL MERREIKH YA SUDAN 2-0 KOMBE LA MABINGWA AFRIKA
9 years ago
Habarileo25 Aug
Sure Boy aisikilizia El Merreikh
KIUNGO wa mabingwa wa Kombe la Kagame, Azam FC, Abubakari Salum amesema yupo tayari kujiunga na El Merreikh ya Sudan iwapo itajitokeza kufanya mazungumzo na timu yake kwa ajili ya kumalizana.