Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BUNGE LAAHIRISHWA KIFO CHA MBUNGE WA SUMVE

Spika wa Bunge, Job Ndugai, leo Aprili, 29, 2020, ameahirisha Mkutano wa 19, Kikao cha 9, cha Bunge hadi kesho, kufuatia kifo cha Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa.
Ndassa anakuwa mbunge wa pili wa CCM, kufariki dunia wakati Mkutano huu wa Bunge la 19 ukiendelea, baada ya Mbunge wa Viti Maalumu Mchungaji Getrude Rwakatare kufariki dunia wiki iliyopita.
“Waheshimiwa wabunge, ninaomba kuwajulisha kuwa bunge letu limepata na msiba mwingine mkubwa wa kuondokewa na mbunge mwenzetu wa Jimbo la Sumve ...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BUNGE LAAHIRISHWA KUFUATIA KIFO CHA MBUNGE WA UKONGA EUGEN MWAIPOSA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. Jenista Mhagama (mwenye nguo nyekundu) akimfariji Mwenyekiti wa Bunge Bi. Lediana Mng’ong’o mara baada ya bunge kuahirishwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ukonga Bi. Eugen Mwaiposa. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora Bi. Mary Nagu na kushoto ni wabunge James Mbatia na Goodluck Ole Medeye.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Anjela Kairuki (kushoto) akitoka nje ya ukumbi wa bunge akiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA JIMBO LA UKONGA AFARIKI DUNIA BUNGE LAAHIRISHWA

Eugene Mwaiposa enzi za uhai wake.
MBUNGE wa Jimbo la Ukonga, Eugene Mwaiposa (CCM) amefariki dunia akiwa nyumbani kwake mkoani Dodoma leo baada ya kusumbuliwa na shinikizo la damu kwa muda mrefu.
Taarifa iliyotolewa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kwamba marehemu alikuwa na tatizo la shinikizo la damu kwa muda mrefu na amefariki akiwa nyumbani kwake Dodoma.
Ameongeza kuwa nyumbani kwa marehemu ni eneo la Chaduru jirani na jengo jipya la Hoteli ya Shabiby barabara...

 

9 years ago

Vijimambo

BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA KIFO CHA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Nchini, Peter Mziray (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kuahirishwa kwa kikao cha baraza hilo kilichokuwa kifanyike Oktoba 6 na r7, 2015 kutokana na kifo Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa, Sisty Nyahoza na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Siasa na Rais wa ADA, John Chipaka.Msajili Msaidizi wa...

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: MBUNGE WA JIMBO LA SUMVE RICHARD NDASA AFARIKI DUNIA

Spika wa Bunge, Job Ndugai amethibitisha kutokea kwa kifo cha Mbunge wa Jimbo la Sumve, Richard Ndasa kilichotokea usiku wa kumkia leo jijini Dodoma. Spika Ndugai amehairisha shughuli za Bunge ikiwa ni kanuni za maombelezo.

 

10 years ago

GPL

BUNGE LAAHIRISHWA TENA

SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameahirisha bunge baada ya kutokea mzozo kwa wabunge wa upinzani kusimama na kuomba mwongozo wakati Waziri wa Nishati na madini, George Simbachawene alipoanza kusoma kwa mara ya pili Muswada juu ya Petroli, 2015 (The Petroleum Act, 2015). Baadhi ya wabunge wa upinzani walisimama kuomba mwongozo akiwemo, Tundu Lissu lakini hawakupewa nafasi ndipo wenzao nao waliposimama na kuanza kupaza asauti...

 

11 years ago

Michuzi

BUNGE LAAHIRISHWA HADI NOVEMBA 4, 2014

 Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda akihutubia Bunge kabla ya kuahirishwa hadi Novemba 4, 2014   Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kuhusu Mswada wa Fedha wa Mwaka 2014 ambao umepitishwa na Bunge Leo.  Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya mashariki Mhe.Samweli Sita akibadilishana mawazo na waziri Mwenzake Mhe,Mary Nagu.
 Mwanasheria Mkuu Mhe.Jaji Frederick Werema akimpa mkono wa kumpongeza  Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda mara baada ya kulihuitubia Bunge. SpikaMhe.Anna...

 

9 years ago

StarTV

Uchaguzi Arusha kuahirishwa kufuatia kifo cha mbunge wa ACT Wazalendo.

Mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo Estomih Malla, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika hospitali ya rufaa ya KCMC Mjini Moshi, alipokuwa akipatiwa matibabu.

Marehemu Malla alikimbizwa KCMC baada ya hali yake kubadilika ghafla akiwa katika mikutano ya kampeni za chama chake  jumatano iliyopita huko Ngaramtoni Arusha.

Katika makao makuu ya chama cha ACT-Wazalendo Arusha Mwenyekiti wake mkoani humo Samwel Kivuyo, amesema wakiwa katika mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani