Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CAF:Hatujabadili tarehe ya michuano

Waandilizi wa dimba la taifa bora barani Afrika ACN wanasema kuwa hakuna mabadiliko yoyote ya michuano hiyo iliobadilika

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Azam, Yanga, kuelekea michuano ya CAF

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania ,limezitakia kheri na ushindi timu za Azam na Young Africans katika michezo yao ya marudiano.

 

10 years ago

BBCSwahili

CAF yapongeza michuano ya AFCON 2015

Shirikisho la soka barani Afrika, Caf limeipongeza Equatorial Guinea kwa maandalizi ya muda mfupi ya michezo ya Afcon 2015

 

10 years ago

BBCSwahili

CAF:Morocco kushiriki katika michuano

Shirikisho la soka barani Africa CAF limethibitisha kuwa Morocco itashiriki katika mechi za kufuzu kwa dimba la Afrika mwaka 2017.

 

10 years ago

Michuzi

KLABU ZA SOKA KUJIGHARAMIA HOTELI MICHUANO YA CAF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limefanyia marekebisho kanuni zake za michuano ya ngazi ya klabu kwa upande wa malazi ambapo sasa timu zitachagua na kujilipia zenyewe hoteli zinapokuwa kwenye mechi za ugenini.
Kabla ya marekebisho ya kanuni hiyo, timu ngeni ilikuwa ikilipiwa hoteli na timu mwenyeji kwa msafara usiozidi watu 25. CAF ilikuwa imepitisha hoteli maalumu katika kila nchi ambapo mwenyeji alitakiwa kuziweka timu ngeni.
Kwa marekebisho hayo, Chama cha Mpira wa Miguu cha nchi...

 

11 years ago

Michuzi

Malinzi Ajitambulisha Rasmi Kwa Rais wa CAF, Issa Hayatou Jijini Cairo,Misri Akisindikizwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF Leodegar Tenga

 Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akimkabidhi zawadi Rais wa CAF, Issa Hayatou Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akiwa na Rais wa CAF, Issa Hayatou na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF, Leodegar Tenga Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. --- Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemwahidi ushirikiano Rais waShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi. Ahadi hiyo imetolewa juzi (Februari 21 mwaka huu) makao makuu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani