Cameroon sasa wapanda ndege ya Brazil
Wanasoka wa Cameroon wameridhika na marupurupu yao na kuingia kwenye ndege kuelekea Brazil kwa Kombe la dunia baada ya kususia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Jun
BRAZIL 2014: Ishu ya posho yamalizwa, Cameroon yaenda Brazil
Kikosi hicho, ambacho pia kinamjumuisha mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Samuel Eto’o, kiligoma kuondoka nchini humo juzi kutokana na tatizo la posho zao.
11 years ago
BBCWorld Cup: Cameroon v Brazil
Preview followed by live coverage of Monday's World Cup game between Cameroon and Brazil.
11 years ago
BBCSwahili27 Jun
Brazil;Cameroon imeagiza uchunguzi
Rais wa Cameroon Paul Biya ameagiza uchunguzi kufanyika kubaini chanzo cha matokeo duni Brazil2014
11 years ago
TheCitizen23 Jun
Brazil take on Cameroon with 2nd round in sight
Every Brazil fan admits the Selecao are struggling. Every Brazil fan also understands that they have no divine right to winning. After seeing the trend of upsets at the tournament with Spain, England, Italy and Uruguay beaten, they know the 2014 World Cup will be no walkover.
11 years ago
BBCSwahili01 Jul
Cameroon yadaiwa kupanga mechi Brazil
Maafisa wa Cameroon watapelelezwa kufuatia madai wachezaji 7 wa timu ya taifa hilo walihusika katika kupanga mechi nchini Brazil.
11 years ago
Mwananchi02 Jul
BRAZIL 2014: Nyota wa Cameroon wapanga matokeo
>Shirikisho la Soka la Cameroon (Fecafoot) limeanzisha uchunguzi wa madai kuwa wachezaji wake saba walijihusisha na kupanga matokeo ya mechi zao za Kombe la Dunia nchini Brazil.
11 years ago
TheCitizen19 Jun
BRAZIL 2014: Troubling signs for Africa as Cameroon implodes
Any chance Cameroon had of getting back into the game disintegrated when Song lost his head and thumped Mandzukic in the back right under the referee's nose, earning a straight red card.
11 years ago
CloudsFM24 Jun
BAADA YA KUIBAMIZA CAMEROON, BRAZIL KUCHUANA NA CHILE JUMAMOSI #Brazuka
Baada ya jana kuibamiza timu ya Cameroon kwenye michuano ya kombe la dunia, timu ya Brazili ili kwenda mbele zaidi katika hatua ya robo fainali kunategemea na mechi yao dhidi ya Chile, mechi hiyo itachezewa jijini Belo Horizonte siku ya Jumamosi wakiwa na imani mpya ya kunyakua taji hilo.
11 years ago
TheCitizen13 Jun
BRAZIL 2014: ‘Indomitable’ Cameroon proves tame in 1-0 loss against Mexico
The Indomitable Lions now have the dubious honour of being the first African team to EVER be defeated by Mexico in World Cup group stages.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania