Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADA YA KUIBAMIZA CAMEROON, BRAZIL KUCHUANA NA CHILE JUMAMOSI #Brazuka

Baada ya jana kuibamiza timu ya Cameroon kwenye michuano ya kombe la dunia, timu ya Brazili ili kwenda mbele zaidi katika hatua ya robo fainali kunategemea na mechi yao dhidi ya Chile, mechi hiyo itachezewa jijini Belo Horizonte siku ya Jumamosi wakiwa na imani mpya ya kunyakua taji hilo.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Brazil kuchuana na Chile raundi ya pili

Brazil iliifunga cameroon 4-1 na kuiongoza kundi A ambapo sasa itachuana na Chile.

 

11 years ago

Michuzi

brazil yaingia robo fainali kwa mbinde baada ya kuitoa chile kwa penati

Mtanange ulikuwa  mgumu. Brazil hawakuvutia kabisa. Lakini ilitosha kuwapeleka robo fainali za Kombe la Dunia,  ingawa kwa mbinde,  baada ya kuitoa Chile kwa njia ya penati katika mchezo wako wa raundi ya 16  kwenye uwanja wa Mineirao mjini Horizonte.


Neymer ndiye aliyeweka kimiani bao la ushindi wakati Brazil ikiwa chini kwa mabao 3-2, lakini shujaa wa siku hakuwa yeye bali kipa wao Julio Cesar aliyeokoa mikwaju miwili,

 

11 years ago

BBCSwahili

Chile kuchuana na Uhispania

Mabingwa watetezi Uhispania wanatafuta ushindi dhidi ya Chile baada ya kushindwa na Uholanzi katika kombe la dunia Brazil.

 

11 years ago

TheCitizen

BRAZIL 2014: Brazil face Chile as Suarez-less Uruguay confront Colombia

>From 32, it’s down to the last 16. Here there are no second chances. It is win or bust.

 

11 years ago

BBCSwahili

Brazuka:Mpira utakaotumika Brazil

Je kifaa hiki kitaweza? Hilo ndilo swali linaloulizwa na wengi kuhusu Brazuca, mpira utakotumika wakati wa kombe la dunia Brazil

 

11 years ago

CloudsFM

#BRAZUKA Mshindi wa tiketi ya kwenda Brazil kupitia Cloudsfm Radio

 

#BRAZUKA Mshindi wa tiketi ya kwenda Brazil kupitia Cloudsfm Radio Brazuka kampeni Dotto Madali akiwa ndani ya uwanja akiangalia mechi ya Jumamosi kati ya Iran vs Argentina....

 

11 years ago

CloudsFM

KOCHA WA ITALIA AJIUZULU DAABA YA TIMU YAKE KUTUPWA NJE BRAZIL #Brazuka

uda mchache baada ya timu yake kuondolewa rasmi kwenye michuano ya kombe la dunia kwa kushindwa kufanya vyema katika mechi za makundi kwa mara ya pili mfululizo katika kombe la dunia, kocha Cesar Prandelli amefanya maamuzi magumu.Italia iliondolewa baada ya kufungwa kwa goli 1-0 na Uruguay katika mechi ya mwisho ya makundi.Baada ya mchezo Prandelli akiwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari alitangaza kujiuzulu kuifundisha timu hiyo.“Nilichagua mfumo fulani wa ukufunzi na ndio sababu...

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Ishu ya posho yamalizwa, Cameroon yaenda Brazil

Kikosi hicho, ambacho pia kinamjumuisha mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Samuel Eto’o, kiligoma kuondoka nchini humo juzi kutokana na tatizo la posho zao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita vikali Brazil vs Chile

Mechi kali ya mtoano kati ya Brazil vs Chile

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani