Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Castle Lager Perfect Six yanoga kuelekea fainali za Kanda

Timu nne za soka za kanda ya mashariki zimefanikiwa kuvuka na kutinga hatua ya ligi ndogo ya mashindano ya Castle Lager Perfect Six kwa mikoa ya Morogoro na Dodoma.
Katika michezo ya hatua ya mchujo ikirishikisha timu nane za mikoa hiyo, kwa upande wa Morogoro timu za Mzinga FC na Ndezi FC zenyewe zilikata mapema tiketi ya kucheza ligi hiyo huku kwa Dodoma ikiwa ni Schalke 04 FC pamoja na Market FC.
Schalke 04 na Market FC zilikata tiketi juzi kwa kushika nafasi ya kwanza na pili katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kanda ya Ilala yapata mabingwa wa Castle Lager Perfect Six

Na Mwandishi wetu.
Kanda ya Ilala imepata wawakilishi kwenye fainali za mashindano mapya ya soka ya Castle Lager Perfect Six baada ya timu ya Barafu FC ya kutwaa ubingwa wa kanda hiyo katika fainali za kanda hiyo zilizopigwa kwenye uwanja wa Nyantale huko Tabata wikendi hii.
Ubingwa huo kwa timu ya Barafu FC unatoa nafasi ya kuwa mwakilishi kutoka kanda ya Ilala kugombea nafasi ya kwenda nchini Hispania kutembelea uwanja wa Camp Nou na kushuhudia michezo ya klabu ya Barcelona katika La...

 

11 years ago

Michuzi

Castle Lager Perfect Six yatimua vumbi kanda ya Kindondoni

Mchezaji wa timu ya Ifiti, Kavin Mwandisi (kulia) akichuana na mchezaji wa timu ya Matema (FC), Hasani Njaa wakati wa fainali za Castle Lager Perfect Six Kanda ya Kinondoni zililofanika katika Ufukwe wa Coco Beach Dae es Salaam. Ifinit ilishinda mabao 5-4. Mchezaji wa timu ya Tegeta City, Amiry Ally (kushoto) akichuana na mchezaji wa timu ya Group six, Semi James wakati wa fainali za Castle Lager Perfect Six Kanda ya Kinondoni zililofanika katika Ufukwe wa Coco Beach Dae es...

 

11 years ago

Michuzi

Castle Lager Perfect Six ngazi ya kanda yamalizika kwa kishindo

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Mkoa wa Mbeya Vivianus Rwezaura akikabidhi kombe kwa nahodha wa timu ya Green City, Issa Nelson baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa wa Castle Lager Perfect Six Kanda ya Kusini.
Mashindano ya Castle Lager Perfect Six ngazi ya fainali za Kanda yamefikia tamati kwa kishindo baada ya timu ya Green City ya Jijini Mbeya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Castle Lager Perfect Six baada ya kuichabanga Timu ya Savannah kutoka Mkoani Iringa kwa mabao 8-3. ...

 

11 years ago

Michuzi

MUSOMA VETERANI MABINGWA CASTLE LAGER PERFECT SIX KANDA YA ZIWA

Afisa Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania mkoani Mwanza Liston Chale (kulia), Meneja Matukio, TBL Mwanza Eric Mwayela, na Meneja wa Bia ya Castle Lager, Kabula Nshimo wakimkabidhi Kapteni wa timu ya Musoma Veterani, Ramadhani Magoe (kushoto) kombe baada ya kutawazwa mabingwa wa fainali za Castle Lager Perfect Six kanda ya Ziwa jana baada ya timu yake kuwafunga Milango Kumi FC ya Kahama mabao 3-2 katika mchezo uliochezwa katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza jana. Mabingwa hao...

 

11 years ago

Michuzi

Castle Lager Perfect Six yapata wawakilishi wa kwanza fainali za taifa

Kanda ya Kati imekuwa ya kwanza kupata wawakilishi kwenye fainali za mashindano mapya ya soka ya Castle Lager Perfect Six baada ya timu ya Schalke 04 ya Dodoma kutwaa ubingwa wa kanda hiyo katika fainali za kanda hiyo zilizopigwa kwenye uwanja wa Fire manispaa ya Morogoro wikendi hii.
Ubingwa huo kwa timu ya Schalke 04 inatoa nafasi ya kuwa mwakilishi kutoka kanda ya Kati kugombea nafasi ya kwenda nchini Hispania kutembelea uwanja wa Camp Nou na kushuhudia michezo ya klabu ya Barcelona...

 

11 years ago

Mwananchi

Castle Lager Perfect 6 kuendelea Jumamosi

Timu 24 za soka za jijini Dar es Salaam zinashuka dimbani Jumamosi kwenye michuano ya ‘Castle Lager Perfect 6’ kuwania tiketi ya kwenda Hispania kushuhudia mojawapo ya mechi za timu ya Barcelona.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Castle Lager Perfect Six ngazi ya mikoa yaanza

MASHINDANO ya Castle Lager Perfect Six ngazi ya mikoa, yameanza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki, ambako timu 48 zimeshuka dimbani katika mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro zikiwania nafasi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Castle Lager Perfect 6 kwenda Barcelona leo

HATIMAYE mabingwa wa shindano la Castle Lager Perfect 6, wanaondoka leo asubuhi kuelekea Barcelona, nchini Hispania. Kwa mujibu wa Meneja wa Bia ya Castle Lager, Kabula Nshimo washindi hao timu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Castle Lager Perfect Six ngazi ya mikoa kuanza wikendi

MASHINDANO ya Soka ya Castle Lager Perfect 6 ngazi ya mikoa, yanatarajiwa kuanza rasmi wikendi hii katika mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro. Mashindano hayo yatamalizika kwa kupata washindi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani