Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM, Chadema zisitumie vyuo vikuu kama mtaji kisiasa

Takriban wiki mbili zilizopita vyama vya siasa vya Chadema na CCM kupitia viongozi wao wa ngazi za juu vilikuja mkoani hapa na kufanya mikutano ya hadhara kwa nyakati tofauti ndani ya chuo cha Mtakatifu Agustino (Saut).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

VIJANA 30 WA CCM-VYUO VIKUU WASALIMISHA KADI ZAO CHADEMA

Vijana hao wakiwa katika Tawi la Chadema, Mwananyamala jijini Dar. VIJANA takribani 30 wa vyuo vikuu ambao ni wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), leo wamesalimisha kadi zao za CCM katika tawi la Chadema lililopo Mwananyamala, jijini Dar es Salaam kwa madai kuwa hawakuridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa CCM. Mmoja wa…

 

9 years ago

Michuzi

BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Vyuo Vikuu Afrika Mashariki(IUCEA)Profesa Mayunga Nkunya akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha jana kuhusu hali ya wahitimu katika nchi za Afrika Mashariki na ushirikiano wa Baraza la Wafanyabiashara Afrika Mashariki(EABC) kuwajengea uwezo wahitimu ili kumudu soko la ajira .Taasisi hiyo itakuwa na maonesho ya vyuo katika nchi za EAC  Kampala ,Uganda mwezi Oktoba ,2015.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Wafanyabiashara wa Afrika...

 

10 years ago

Mwananchi

BVR Isiwanyime fursa wanafunzi wa vyuo vikuu kama 2010

Mpango wa uandikishaji wa wapiga kura kwa kutumia kifaa cha mfumo wa kielektroniki ya Biometric Voter Registration (BVR), unaendelea katika mikoa mbalimbali hususan ya Kanda ya Ziwa. Pamoja na malalamiko ambayo yamekuwa yakitolewa na wadau wakuu wa siasa ikiwemo vyama vya upinzani, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekuwa ikiendelea na ratiba kama ilivyopangwa.

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA AMANI TANZANIA YAWATAKA WANASIASA KUACHA KUTUMIA JANGA LA CORONA KAMA MTAJI WA KISIASA, WAUNGA MKONO HOTUBA YA RAIS MAGUFULI

 Mwenyekiti wa Taasisi ya Amani Tanzania Sadiki  Godigodi(kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo Mei 20 jijini Dar es Salaam wakati akielezea taasisi hiyo inavyomuunga mkono Rais Dk.John Magufuli katika mapambano dhidi ya janga la Corona.Katikati ni Mkurugenzi wa Siasa na Dini wa taasisi hiyo Alhaji Dk.Sule Seif na kushoto ni Mshauri wa taasisi hiyo Issa Mkalinga.
 Mshauri wa Taasisi ya Amani Tanzania Issa Mkalinga (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo.Wengine ni...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.

Huyu si ndiyo alisema ni raisi wa wanafunzi na sauti zao hapa chini iweje leo waandike barua ya kujikana?. Siasa za bongo ni chenga kweli yani wala siyo {HD}

Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Vijimambo

DK. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA SHIRIKISHO LA VYUO VIKUU ZANZIBAR KUPITIA CCM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirikisho la Wasomi wa Vyuo Vikuu Zanzibar kupitia CCM Khamis Ali Ameir alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar kuzungumza na Shirikisho hilo leo,(Picha na Ikulu) Viongozi wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Taifa CCM wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mangula, Nape waongoza kongamano la maadhimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ya vijana wa CCM vyuo vikuu leo

1. Mangula 2

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akihutubia Jumuia ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu katika Kongamano la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, lililoandaliwa na Vijana wa CCM wa Vyuo Vikuu, kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, leo, Oktoba 19, 2014.

1. Mangula na Nape

Katibu wa NEC, Irikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Mzee Mangula baada ya kuhutubia katika kongamano hilo. Kulia ni Katibu Mtendaji Mkuu wa CCM mkoa wa Vyuo Vikuu, Christopher...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani