Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA 30 WA CCM-VYUO VIKUU WASALIMISHA KADI ZAO CHADEMA

Vijana hao wakiwa katika Tawi la Chadema, Mwananyamala jijini Dar. VIJANA takribani 30 wa vyuo vikuu ambao ni wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), leo wamesalimisha kadi zao za CCM katika tawi la Chadema lililopo Mwananyamala, jijini Dar es Salaam kwa madai kuwa hawakuridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa CCM. Mmoja wa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Vijimambo

11 years ago

Mwananchi

CCM, Chadema zisitumie vyuo vikuu kama mtaji kisiasa

Takriban wiki mbili zilizopita vyama vya siasa vya Chadema na CCM kupitia viongozi wao wa ngazi za juu vilikuja mkoani hapa na kufanya mikutano ya hadhara kwa nyakati tofauti ndani ya chuo cha Mtakatifu Agustino (Saut).

 

11 years ago

Dewji Blog

Mangula, Nape waongoza kongamano la maadhimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ya vijana wa CCM vyuo vikuu leo

1. Mangula 2

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akihutubia Jumuia ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu katika Kongamano la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, lililoandaliwa na Vijana wa CCM wa Vyuo Vikuu, kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, leo, Oktoba 19, 2014.

1. Mangula na Nape

Katibu wa NEC, Irikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Mzee Mangula baada ya kuhutubia katika kongamano hilo. Kulia ni Katibu Mtendaji Mkuu wa CCM mkoa wa Vyuo Vikuu, Christopher...

 

11 years ago

Michuzi

MANGULA, NAPE WAONGOZA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE YA VIJANA WA CCM VYUO VIKUU , LEO

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akihutubia Jumuia ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu katika Kongamano la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, lililoandaliwa na Vijana wa CCM wa Vyuo Vikuu, kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, leo, Oktoba 19, 2014.Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia katika Kongangamano hilo la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Nape amewataka wasomi kutofumbia macho matatizo ndani ya CCM, badala yake wakati wakisifu  mema wawe...

 

11 years ago

Michuzi

CHADEMA NACHINGWEA WAKIKIMBIA CHAMA CHAO NA KUJIUNGA NA CCM, WAZIRI CHIKAWE APOKEA KADI ZAO NA KUWAKARIBISHA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto) akizionesha kadi za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Kata ya Lionja, Wilayani Nachingwea, Hashimu Halifa (kulia). Waliorudisha kadi hizo na kujiunga na CCM ni Lusia Mohammed, Abdu Ngawina na Mohammed Kindamba. Waziri Chikawe ambaye yupo katika ziara ya kikazi jimboni kwake aliwaomba Wajumbe wa Mabaraza ya Jumuiya zote za CCM Kata,...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Vyuo Vikuu Afrika Mashariki(IUCEA)Profesa Mayunga Nkunya akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha jana kuhusu hali ya wahitimu katika nchi za Afrika Mashariki na ushirikiano wa Baraza la Wafanyabiashara Afrika Mashariki(EABC) kuwajengea uwezo wahitimu ili kumudu soko la ajira .Taasisi hiyo itakuwa na maonesho ya vyuo katika nchi za EAC  Kampala ,Uganda mwezi Oktoba ,2015.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Wafanyabiashara wa Afrika...

 

11 years ago

Vijimambo

VIJANA WA VYUO VIKUU WAMKUMBUKA MWALIMU NYERERE


 Katibu Mwenezi wa CCM Tawi la Chuo Kikuu Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Rehema Akikweti akisoma salaam za ufunguzi wa mkutano wa Vijana wa Vyuo Vikuu wa CCM kuadhimisha Kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa.


 Sehemu ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wakisikiliza mada mbali mbali
 Mwenyekiti wa UVCCM tawi la chuo Kikuu cha Dar es Salaam Theodora Malata akisoma risala ya Umoja wa Vijana wa Elimu ya Juu.

 Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania Ndugu Christopher...

 

11 years ago

Michuzi

Programu ya kujitolea kwa Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu yamalizika leo

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante OleGabriel akiongea na wahitimu wa programu ya kujitolea wa Vyuo Vikuu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa VSO International Tanzania Bw. Jean Van Wetter. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habar i Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante OleGabriel katikati akimpa Cheti Dada Ndidi Tumpe wakati wa kuhitimisha Programu ya kujitolea kwa Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani