CCM inamhitaji Lowassa ili Ishinde uchaguzi- Kingunge
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru amesema CCM inamuhitaji Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenye mchakato wa Uchaguzi Mkuu na kukitaka chama hicho kujadili jambo hilo ili kuondoa tofauti zilizojitokeza kabla ya kupiga kura za kumchagua Rais na wabunge.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LnJ2JohNx4I/VaZhLTMUJTI/AAAAAAAC8kE/LJf90CHSfNU/s72-c/_MG_6453.jpg)
KINGUNGE AWATAKA WANACCM KUSHIKAMANA NA KUZIKA TOFAUTI ZAO ILI KUPATA USHINDI WA KISHINDO UCHAGUZI MKUU 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-LnJ2JohNx4I/VaZhLTMUJTI/AAAAAAAC8kE/LJf90CHSfNU/s640/_MG_6453.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-69n8_eYeKbU/VaZhKwT1LEI/AAAAAAAC8kA/Ik2GxrZzM5w/s640/_MG_6474.jpg)
10 years ago
Dewji Blog28 Jun
Kingunge amdhamini Lowassa, asema mgombea urais wa CCM lazima akubalike na makundi yote, ndani na nje ya chama
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungian wananchi wakati akiwasili ofisi za CCM kata ya Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, kutafuta wadhamini. (Picha na K-VIS MEDIA).
Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombali Mwiru, (kushoto), akijaza fomu za kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015, wakati Mh. Lowassa, alipotua jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Habarileo11 Feb
Z’bar ‘walishwa yamini’ CCM ishinde
ZANZIBAR wametakiwa kufanya kazi ya kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinashinda katika Uchaguzi Mkuu na si kupanga safu ya kupata viongozi wa kuongoza chama.
10 years ago
Mwananchi11 May
UCHAGUZI CCM 2015: Edward Lowassa: Mbunge wa Monduli
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Kumekucha Uchaguzi Mkuu 2015, Lowassa atikisa CCM, upinzani
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-xy3xmt5-1wE/VNW8L_2xwGI/AAAAAAAAVBU/Bqn4Eobn3dU/s72-c/3.png)
DIAMOND AKANUSHA KUPEWA MILIONI 500 NA LOWASSA ILI AMPIGIE KAMPENI....ASEMA TAARIFA HIZO ZINALENGO LA KUMCHAFUA LOWASSA
![](http://4.bp.blogspot.com/-xy3xmt5-1wE/VNW8L_2xwGI/AAAAAAAAVBU/Bqn4Eobn3dU/s640/3.png)
Alisema hata hivyo Diamond yupo tayari kumfanyia kampeni mgombea yeyote...
9 years ago
Mtanzania08 Oct
Kingunge kumnadi Lowassa leo
NA FREDY AZZAH, LONGIDO
SIKU chache baada ya mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, kutangaza kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo anatarajiwa kusimama kwenye jukwaa la vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi
(Ukawa) jijini Arusha kumnadi mgombea urais wa Chadema kupitia umoja huo, Edward Lowassa.
Meneja kampeni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mrema, aliliambia gazeti hili kuwa mwanasiasa huyo atahutubia mkutano huo utakaoanza mchana.
“Kesho (leo),...
9 years ago
Habarileo02 Nov
Kingunge kuzungumzia uchaguzi mkuu
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale- Mwiru amesema atazungumzia mchakato wa Uchaguzi Mkuu baadaye baada ya kukusanya taarifa za kutosha.