Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM wamsulubu Kikwete

KIKAO cha Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichomalizika juzi mjini Dodoma, kinatarajia kusababisha mapinduzi makubwa ya utendaji wa serikali pamoja na mijadala ya vikao vya Bunge Maalumu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Majambazi 'wamsulubu' mwalimu Kenya

Mwalimu wa kanisa katoliki Magharibi mwa Kenya alitekwa nyara majambazi na kupigiwa msumari kwenye mti msituni

 

11 years ago

GPL

WAMSULUBU MJUKUU, WATIWA MBARONI

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah
KIBANO! Jeshi la Polisi Changombe, Dar linamshikilia mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Neema na babu Ramadhan kwa RB namba CHA/RB/4645/2014 UNYANYASAJI WA MTOTO wakidaiwa kumsulubu mjukuu wao (jina linahifadhiwa kimaadili). Mke na mume wanaodaiwa kumfanyia ukatili mtoto huyo Tukio la kuwatia nguvuni wahusika hao lilijiri Mei 29, mwaka huu maeneo ya Buza jijini Dar, baada ya ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wapinzani wamsulubu Mwakyembe bungeni

>Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, jana ilimsulubu Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ikieleza kuwa wizara yake iliingia mkataba wa mradi wa treni za kisasa kutoka Stesheni ya Dar es Salaam hadi Pugu kupitia Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) bila kufuata taratibu.

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CCM DK. KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM JIJINI MBEYA‏

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Soweto Mwanjelwa jijini Mbeya tayari kwa kuanza matembezi ya mshikamano kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Kikwete aongoza Kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Jijini leo

IMGL0111

Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM jijini Dar es salaam ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli.(PICHA NA ISSA MICHUZI WA IKULU).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani