Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM WAZINDUA KAMPENI ZA KUWAWANADI WAGOMBEA WAKE KATIKA MTAA WA OSTERBAY,JIJINI DAR

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara,Ndg. Phillip Mangula (wa pili kulia) na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa (CCM),Mh. Pius Msekwa (kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgombea wa Nafasi ya uenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Osterbay,Ndg. Zefrin Kimolo Lubuva (wa pili kushoto) mara baada ya uzinduzi wa kampeni za kuwawanadi Wagombea wa nafasi mbali mbali ndani ya CCM katika Mtaa wa Osterbay,zilizofanyika juzi jioni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAGOMBEA UBUNGE CCM WAKAMILISHA KAMPENI ZAO KATIKA KATA 25 JIJINI ARUSHA

SAM_4554Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele yawananchi na wanachama wa chama hicho katika kata ya Themi viwanja vya Trans Foma jijini Arusha katika mkutano wa wagombea 12 wa chama cha mapinduzi ,kuomba kura katika kata 25 ambapo katika kura ya maoni atapatikana mmoja wa kupeperusha bendera ya CCM Arusha mjini(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)SAM_4518Kijana aliyejitokeza kusikiliza sera za...

 

9 years ago

Dewji Blog

PSPF waanzisha kampeni mpya ya mtaa kwa mtaa kuhamasisha wanachama wake!

Balozi wa mfuko wa pensheni wa PSPF Mrisho Mpoto Maalufu kama (Mjomba)   vyombo vya habari kuhusu kampeni ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika jijini Dar kushoto ni Afisa wa mfuko wa pensheni wa PSPF Hadji Hamis Jamadary.   Na Mwandishi Wetu Mfuko wa hifadhi za jamii wa pensheni (PSPF) kwa kuwajali watanzania waanzisha kampeni ya mtaa kwa mtaa ili kuweza kuungana na wananchi wa maeneo mbalimbali kwa kuwapa elimu  inayohusu mfuko huo wa pesheni kampeni hizo zimeanzia jijini Dar es salaam kwa...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM OFISI NDOGO YA CCM MTAA WA LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020  Viongozi waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wakitambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya...

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA UKAWA WAZINDUA KAMPENI ZAO JANGWANI JIJINI DAR LEO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji wakiwasili kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
 Umati wa wakazi wa Jijini Dar es salaam, ukiwa umefurika kwa wingi kwenye viwanja vya Jangwani kuwalaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya...

 

10 years ago

Michuzi

jioni hii katika makutano ya mtaa wa Aggrey na India jijini Dar

Jioni hii katika Makutano ya barabara za mitaa ya Aggrey na India,ambapo gari hiyo aina ya Noah iliyokuwa ikitokea katika kituo cha Mafuta imeigonga pikipiki hiyo iliyokuwa katika mtaa wa Aggrey kama ionekanavyo pichani.Dereva wa pikipiki (wa tatu kulia kama anavyoonekana akipatana na mwenye gari) akiweza kuruka na kutoka salama salimini.

 

10 years ago

Michuzi

FINCA WAZINDUA KAMPENI YAO MPYA YA FIKA NA FINCA JIJINI DAR LEO

 Mkuu wa Huduma za Kibenki wa FINCA,Bwa.Gershom Mpangala akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani),kuhusiana na taasisi hiyo ya Kifedha kuzindua kampeni yake mpya  iliyojulikana kwa jina la Fika na Finca,kampeni inayolenga kuwafikia Watanzania wote kupitia huduma za kibenki na kuwasaidia kutimiza malengo ya kimaendeleo waliyojiwekea,Mkutano huo umefanyika kwenye moja ya Ofisi zao zilizopo Mwembechai Jijini Dar.Pichani kati Kaimu Afisa Mwendeshaji Mkuu wa FINCA ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani