Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM YAOMBOLEZA KIFO CHA MZEE IDDI SIMBA


CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CCM ZANZIBAR YAOMBOLEZA KIFO CHA MWASISI WA ASP MAREHEMU MAKAME MZEE SULEIMAN

Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wamepokea kwa mshituko, huzuni na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyewakuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Zanzibar marehemu Makame Mzee Suleiman, kilichotokea usiku wa tarehe  16 Januari, 2015, nyumbani kwake Amani, Unguja.
Marehemu Makame Mzee Suleiman, alizaliwa tarehe 14 Aprili, 1926, katika Kijiji cha Mitakawani, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini, Unguja.
Alipata Elimu ya Msingi katika Skuli ya  Uzini mwaka 1936. Aidha,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Dunia yaomboleza kifo cha Mandela

Viongozi wa dunia pamoja na wananchi wamejitokeza katika sehemu nyingi duniani pamoja na Afrika Kusini wakiomboleza kifo cha kiongozi wao Mandela

 

11 years ago

BBCSwahili

Zambia yaomboleza kifo cha Liwewe

Zambia inaomboleza Kifo cha Mtangazaji Gwiji wa soka Mzee Dennis Liwewe aliyewahi kuwa Mwandishi wa habari wa Michezo wa BBC

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel yaomboleza kifo cha Sharon

Watu nchini Israel leo wanaanza kipindi kifupi cha maombolezi kufuatia kifo cha waziri mkuu wa zamani Ariel Sharon Jumamosi.

 

11 years ago

Michuzi

basata yaomboleza kifo cha muhidin maalim gurumo

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Muhidini Maalimu Ngurumo


“ Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Muhidini Maalimu Ngurumo ambaye mchango wake katika muziki wa dansi ni mkubwa mno na  unahitajika sana, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wake bado unahitajika katika tasnia hii.”  Baraza linatoa pole kwa familia ya marehemu na wasanii wote...

 

5 years ago

Michuzi

TANZIA: MZEE IDDI SIMBA AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM


Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara katika serikali ya Awamu ya Tatu Mzee Iddi Simba amefariki dunia leo asubuhi katika Tasaisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu, binti yake Sauda Simba amethibitisha.
Habari zaidi pamoja na mipango ya mazishi tutajulishana baada ya muda si mrefu

 

10 years ago

Dewji Blog

BASATA yaomboleza kifo cha msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Shem Ibrahim Kalenga

Shem Kalenga

Marehemu Shem Ibrahim Kalenga enzi za uhai wake.

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Shem Ibrahim Kalenga

“ Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Shem Ibrahim Kalenga ambaye mchango wake katika muziki wa Dansi ni mkubwa mno na  unahitajika sana, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wake bado unahitajika katika tasnia hii.” Baraza linatoa pole kwa...

 

11 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND YA UJERUMANI YAOMBOLEZA KIFO CHA MWANA MUZIKI MKONGWE MUHIDIN GURUMO (RIP)

 Tumepokea kwa huzuni tele na majonzi makubwa taarifa ya kifo cha mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania na Africa ya mashariki marehemu mzee Muhidin Maalimu Gurumo Kilichotokea leo 13.04.2014 huko nyumbani Tanzania. Pamoja na kuwa mbali na nyumbani bendi ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band yenye makao yake nchini Ujerumani  inaungana na watanzania wote popote pale katika kuomboleza msiba huu. Tunatoa pole zetu kwa bendi ya Msondo Ngoma pamoja na familia ya marehemu,mwenyezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani