CCM yapigishwa kwata Mbeya
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mbeya kimeingia katika mgogoro na wapangaji wake, ambao hawataki kulipa madeni ya pango kwa madai mali zinazomilikiwa na chama hicho si zao bali wamezipora....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi02 Feb
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/02/32.jpg)
MWENYEKITI WA CCM DK. KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM JIJINI MBEYA
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Soweto Mwanjelwa jijini Mbeya tayari kwa kuanza matembezi ya mshikamano kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.… ...
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/02/11.jpg)
MWENYEKITI WA CCM DK JAKAYA KIKWETE AWASILI MKOANI MBEYA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr.Jakaya Kikwete akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili rasmi mkoani humo tayari kwa kuongoza maadhimisho ya Miaka 37 ya Chama cha Mapinduzi yanayofanyika kesho kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, ambapo amepokelewa na viongozi mbalimbali wa kitaifa wa Chama na Serikali pamoja na wananchi...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-aAkh_1ON7VA/Uu3r0WRVxyI/AAAAAAACZ24/g2jqv0AR71o/s72-c/16.jpg)
MWENYEKITI WA CCM,RAIS KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO YA MIAKA 37 YA CCM JIJINI MBEYA,KUHUTUBIA TAIFA MCHANA
![](http://1.bp.blogspot.com/-aAkh_1ON7VA/Uu3r0WRVxyI/AAAAAAACZ24/g2jqv0AR71o/s1600/16.jpg)
10 years ago
BBCSwahili24 Aug
Mateka waendeshwa kwata Ukraine
Wapiganaji wa mashariki mwa Ukraine wawapitisha barabara za Donetsk wanajeshi waliowateka huku wakizomewa na raia
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Wampigisha kwata Waziri wa Afya
Wabunge wanawake bila kujali itikadi za vyama juzi usiku waliungana kuibana Serikali wakishinikiza iongeze fedha za Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ya mwaka 2014/15 ili kukabiliana na vifo vya kina mama na watoto.
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Azam yawapigisha kwata Ruvu JKT
Goli lililofungwa na Kipre Tchetche lilitosha kuipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya timu ya JKT Ruvu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania