CCM YATEUA MGOMBEA WAKE UCHGAUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA, NI GODFREY WILLIAM MGIMWA
Kamati Kuu ya CCM, chini ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete, imempitisha Godfrey William Mgimwa kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM, katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, utakaofanyika Machi 16, mwaka huu.
Akizungumza na waandfishi wa habari leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Katribu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, Kamati Kuu ya CCM imemridhia Godfrey kupeperusha bendera ya CCM baada ya kukidhi vigezo licha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi07 Mar
11 years ago
Michuzi
MGOMBEA UBUNGE (CCM) JIMBO LA KALENGA GODFREY MGIMWA AHUTUBIA KWENYE MVUA KUBWA,WANANCHI WAKESHA NAE.!

11 years ago
Michuzi
Meya wa Ilala Jerry Silaa,Mwakalebela waishambulia vilivyo Kalenga,wampigia debe la nguvu mgombea ubunge jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa


11 years ago
GPL
MGOMBEA UBUNGE GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI JIMBO LA KALENGA
11 years ago
Michuzi28 Feb
11 years ago
Michuzi
MKUU WA WILAYA YA KIBONDO VENANCE MWAMOTO AMTAKIA KILA LAKHERI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KALENGA,GODFREY MGIMWA

Uchaguzi wa jimbo hilo unatarajiwa kufanyika mnamo tarehe 16 machi 2014,ambapo wananchi wa jimbo hilo wameombwa kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi hilo la upigaji kura na...