Chama cha Republican chanyakua baraza la Senate, Obama kupunguziwa makali!
Chama cha Republican cha nchini Marekani, kimelinyakua baraza la Senate kutoka chama cha Democratic na hivyo kukipa udhibiti wa bunge la Congress na nafasi ya kumpa wakati mgumu Rais Barack Obama katika miaka yake miwili aliyobakiza ikulu. Chama hicho kimeshinda kwenye majimbo ya Arkansas, Colorado, Iowa, Montana, North Carolina, South Dakota na West Virginia. Katika […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Republican yampinga Obama
Chama cha Republican Marekani kimepinga uamuzi wa Rais Obama kutaka kuwapa uraia wahamiaji.
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
Obama aahidi kushirikiana na Republican
Rais Barack Obama na viongozi wa Rebulican wameahidi kufanyakazi pamoja
10 years ago
BBCSwahili05 Nov
Ushindi wa Republican:Obama aita kikao
Rais wa Marekani Barack Obama amewakaribisha viongozi wa baraza la congress kutoka vyama vyote katika ikulu ya white house
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vwaulAw7CSc/Vcdd5-wJj3I/AAAAAAAHviI/hic-u4W7jMQ/s72-c/MMGL0172.jpg)
LOWASSA AHUDHULIA MKUTANO WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA WANANCHI CUF, JIJINI DAR LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-vwaulAw7CSc/Vcdd5-wJj3I/AAAAAAAHviI/hic-u4W7jMQ/s640/MMGL0172.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-kKf-PsMDlTY/VcdcDdYkU1I/AAAAAAAHvfA/w4xY93s99zw/s640/MMGL0373.jpg)
10 years ago
MichuziUJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR
11 years ago
Michuzi10 Aug
KITUO CHA REDIO 5 CHANYAKUA UBINGWA MAONYESHO YA NANE NANE KANDA YA KASKAZINI
![](https://mail.google.com/mail/u/0/images/cleardot.gif)
![r1](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/JpFR4iGTRQn7y9Ir8OWwEH1T5SMZw3eN2UuWwCKnPfIs_iWZrSKXbrbZDjCX96Hc9zYw_Kk7hEUGQCeWPnKrt2O8NzGPUTh_tbmHHtb8ZnPrlDwC4O-Sag=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/08/r1.jpg?w=627&h=470)
![b](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/xjLQEHwXi8WcfsOfVDX8lSI75ckohZ742ImrRtyOpa6hpLlo62Fxkcmt7CTqUR43NgGkf1xZE5sfOBNL3KN_FRaxcHwqwH5ZG-X6kwjupI3oO7WK4BpH=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/08/b.jpg?w=627&h=470)
10 years ago
Michuzi27 Feb
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-y4G5rn7r2Mg/XuDXRxdDKhI/AAAAAAALtXE/CTIjtAhjhH0m50ZE7NcNosFlj6FtVeBGgCLcBGAsYHQ/s72-c/5..AA_-768x512.jpg)
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-y4G5rn7r2Mg/XuDXRxdDKhI/AAAAAAALtXE/CTIjtAhjhH0m50ZE7NcNosFlj6FtVeBGgCLcBGAsYHQ/s640/5..AA_-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/7-1AA-1024x803.jpg)
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/8AA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/9AAA-1024x861.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/10AA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/12AAA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/13AA-1024x688.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/14AAA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/15AAA-1024x657.jpg)
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO
 Mwenyekiti wa ACT-Tanzania, Lucas Kadawi Limbu.  Mwenyekiti wa ACT-Tanzania, Lucas Kadawi Limbu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, ambapo alipinga Msajili wa Vyama Siasa Nchini, Jaji Francis Mtungi kubadilisha jina la chama cha ACT-Tanzania na kuwa ACT-Wazalendo bila ya kufuata utaratibu. Kulia ni Katibu Muenezi wa chama hicho, Fredy Kisena na Katibu Mkuu wa chama...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania