CHAMA CHA UKOMBOZI (CHAUMA), CHAZINDUA KAMPENI ZAKE VIWANJA VYA BAKHRESA MANZESE DAR ES SALAAM LEO
Mwananchi aliyevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiondolewa na askari polisi baada ya kujipenyeza kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Ukombozi Umma (Chauma), uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es Salaam leo.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi (Chauma), Dk. Hashim Rungwe, akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho, uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es Salaam leo.
Mzee wa chama hicho, Mbwana Hassan Mbwana akihutubia kwenye...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboCHAMA CHA ACT-WAZALENDO CHAZINDUA KAMPENI ZAKE VIWANJA VYA MBAGALA ZAKHEM DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
Dewji Blog31 Aug
Chama cha ACT-Wazalendo chazindua kampeni zake viwanja vya Mbagala Zakhem Dar Es Salaam
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira (kushoto), akihutubia katika uzinduzi wa kampeni ya chama hizo uliofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es Salaam jana.
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto akihutubia katika uzinduzi huo.
Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo, Profesa Kitila Mkumbo akihutubia kwenye uzinduzi huo.
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto (kushoto), akiteta jambo na Mgombea urais wa Tanzania...
9 years ago
Dewji Blog16 Sep
Chama cha Mapinduzi CCM chazindua kampeni zake Wilaya Dimani-Zanzibar
Mgombea Ubunge Jimbo la Kiembesamaki kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Ibrahim Raza akiwatambulisha wagombea uwakilishi wa Jimbo hilo, (kulia) mgombea Uwakilishi jimbo la Chukwani Bi. Mwanasha Khamis na (kushoto) mgombea Uwakilishi jimbo la Kiembe samaki, Mahmoud Thabit Kombo. (Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Zuhura Seif Hassan akighani utenzi katika Mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM Wilaya ya Dimani zilizofanyika uwanja wa shinyanga karibu na Baraza la Wawakilishi...
9 years ago
Dewji Blog16 Sep
Chama cha ACT WAZALENDO chazindua kampeni zake za Ubunge jimbo la Manyoni
baadhi ya wagombea ubunge wa chama cha ACT Wazalendo waliohudhuria mkutano wa uzinduzi katika jimbo la Manyoni-Singida.
Na, Jumbe Ismailly, Manyoni
CHAMA Cha ACT Wazalendo wilaya ya Manyoni Mkoani Singida kimezindua kampeni za ubunge wa jimbo la Manyoni mashariki kwa kumnadi mgombea ubunge wa jimbo hilo,Muttee John Henry na kuwatisha watendaji wa idara ya afya wanaouza madawa kwenye vituo vya kutolea huduma na hivyo kusababisha wananchi kukosa huduma katika vituo vya kutolea huduma...
10 years ago
VijimamboUZINDUZI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI AWAMU YA PILI WAFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
MichuziCHAMA CHA MAPINDUZI CCM CHAZINDUA KAMPENI WILAYA YA DIMANI ZANZIBAR
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vh8srPJ86Eo/VdrMzmqnZbI/AAAAAAAHzeM/kLmQI1idvog/s72-c/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
Uzinduzi wa Kampeni za CCM Jumapili viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-vh8srPJ86Eo/VdrMzmqnZbI/AAAAAAAHzeM/kLmQI1idvog/s640/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-uds314aNRxg/VdrMz-5fw1I/AAAAAAAHzeQ/rPaBDuD0OAQ/s640/unnamed%2B%252818%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-n4E61ffFv3g/VdrM79BCKKI/AAAAAAAHzec/DKWLyLA8GuM/s640/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://2.bp.blogspot.com/-3kQa4KfJOBI/VivliLMVOHI/AAAAAAAAW94/61vZ7xnhBbA/s72-c/10984468_1104492256251890_743656638457542269_n.jpg)
MKUTANO WA MWISHO WA KAMPENI YA URAIS WA UKAWA KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI DAR ES SALAAM.
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Uzinduzi wa kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ awamu ya pili wafanyika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Neema Rusibamayila kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo Dk. Seif Rashid (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya Wazazi Nipendeni awamu ya pili katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam jana mchana. Wa kwanza kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Anna Bodipo Memba na wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magema.