Chave: Siyo rahisi kwa Tanzania kurejesha mabilioni ya Uswisi
ELIAS MSUYA
Kwa zaidi ya miaka miwili, kumekuwa na taarifa za kufichwa kwa mabilioni ya fedha katika benki za Uswisi na nchi nyinginezo duniani.
Taarifa ya awali ilitoka ilitokana na ripoti ya Benki ya Taifa ya Uswisi ikionyesha kuwa kuna zaidi ya Sh300 bilioni za Tanzania zilizofichwa kwenye benki mbali mbali nchini humo.
Taarifa za hivi karibuni zilizotolewa na Mtandao wa Kimataifa wa Habari za Uchunguzi (ICIJ) zimeonyesha kuwepo kwa Watanzania 99 walioficha kiasi cha Sh210 bilioni katika...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi31 Jul
Serikali ina njia tatu za kurejesha ‘mabilioni ya Uswisi’
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Mabilioni Uswisi yachotwa
10 years ago
Mtanzania19 Feb
Mabilioni yaliyofichwa Uswisi yachunguzwa
Elias Msuya na mashirika ya habari ya kimataifa
WAENDESHA mashtaka nchini Uswisi wamevamia katika ofisi za benki ya HSBC iliyopo Geneva na kuanza kuhoji madai ya fedha zilizopo kinyume na sheria katika benki hiyo.
Hivi karibuni mtandao wa Swiss Leaks chini ya Waandishi wa Habari za Uchunguzi wa Kimataifa (ICIJ) ulifichua kuwepo kwa Watanzania 99 wenye akaunti za siri nchini humo zenye zaidi ya Sh 205 bilioni na kwamba Tanzania ni nchi ya 100 kwa nchi zenye fedha nyingi nchini Uswisi.
Hata...
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Mabilioni ya Uswisi yaitesa serikali
SERIKALI imezidi kuweweseka juu ya kuweka hadharani taarifa ya Watanzania walioficha fedha nchini Uswisi, baada ya kamati iliyoundwa na Bunge kushindwa kutoa taarifa yake na kuomba muda zaidi wa kujiandaa....
10 years ago
Vijimambo27 Feb
Mabilioni yaliyofichwa Uswisi kutaifishwa.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mwingulu-27Feb2015.jpg)
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amekoleza moto wa sakata la mabilioni ya fedha zinazodaiwa kufichwa benki nchini Uswisi kwa kuzitaka mamlaka zinazochunguza, kuzitaifisha ili zitumike kutekeleza miradi ya maendeleo nchini.
Nchemba alitoa wito huo jana wakati akizungumza katika mahojiano na kipindi cha Kumepambazuka kinachorushwa na Kituo cha Redio One nchini.
“Kuficha fedha nje ni uhujumu uchumi kwani fedha yeyote iliyofichwa nje ni lazima itakuwa...
10 years ago
Raia Mwema15 Jul
Zitto, mabilioni ya Uswisi na Yeremia 5:21
KUNA wakati, Mwenyezi Mungu ametumia lugha inayoweza kuonekana kali kupitia maandiko yake matakat
Mwandishi Wetu
11 years ago
Mwananchi20 Jul
Bado kuna maficho ya mabilioni Uswisi
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Zitto aanika majina mabilioni ya Uswisi
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Kesi tano za mabilioni Uswisi zachunguzwa