CHELSEA WAKABIDHIWA KOMBE LAO LA LIGI KUU YA ENGLAND
![](http://api.ning.com:80/files/Oi8IGTb-jSLEQ8ZcLo6DBQcyMa8MOBLkE*jVO5dT9ulztAkfurPdp9WcRn1QdMfpFmWgf0Xuc6LGwmAVZdsQQ9t8xnQDbQLK/1.jpg?width=650)
Chelsea wakisherehekea ubingwa wa Ligi Kuu ya England kwa msimu wa 2014/15. CHELSEA wamekabidhiwa kombe lao baada ya mechi yao ya mwisho dhidi ya Sunderland leo iliyomalizika kwa wababe hao kuibuka kidedea kwa mabao 3-1. Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho. Mabao hayo yamewekwa kimiani na Loic Remy aliyetupia mawili huku lingine likifungwa na…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Chelsea haishikiki Ligi Kuu England
10 years ago
BBCSwahili04 May
Chelsea mabingwa wapya Ligi Kuu England
10 years ago
StarTV04 May
Chelsea yatwaa ubingwa Ligi Kuu England
imu ya Chelsea imeibuka mabingwa wa ligi kuu ya England, baada ya kuifunga Crystal Palace bao 1-0 katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Stamford Bridge. Bao la Chelsea lilifungwa katika dakika ya 45 ya kipindi cha kwanza cha mchezo, likifungwa Eden Hazard.
Chelsea ilihitaji pointi tatu kutangazwa mabingwa wa ligi kuu ya England. Chelsea imetwaa ubingwa huo ikiwa bado na michezo mitatu, ikiwa imejikusanyia pointi 83 ikifuatiwa na mabingwa wa msimu uliopita Manchester City yenye pointi...
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Chelsea, Manchester City ni vita ya ubingwa Ligi Kuu England
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Chelsea, Manchester City zang’ara Ligi Kuu England
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/LPjPRqUJvhI/default.jpg)
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Ligi kuu England kuendelea
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Mabao ya mapema Ligi Kuu England