Chelsea yamshangaza Koeman
Kocha wa Southampton, Ronald Koeman ameshangazwa na hali ya sasa ya Chelsea kushindwa kufanya vizuri, lakini hadhani kama hali hiyo itamuathiri rafiki wake wa zamani, Jose Mourinho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Maajabu ya Zanzibar yamshangaza Tambwe
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/021C/production/_86904500_mane_index_pa.jpg)
Mane is not for sale, says Koeman
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/81168000/jpg/_81168250_sadio_mane1_getty.jpg)
Mane dropped for being late - Koeman
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …
Kocha wa mpya wa muda wa klabu ya Chelsea Guus Hiddink ambaye amejiunga kwa mara ya pili kuifundisha klabu hiyo, baada ya miaka sita toka aondoke mwishoni mwa mwaka 2009 kama kocha wa muda wa klabu hiyo, Guus Hiddink ambaye ndio ameichukua Chelsea mikononi mwa Jose Mourinho ili aiokoe isiporomoke zaidi, ameanza kwa kuwatuliza mashabiki […]
The post Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo15 Dec
TOP 5 Stori: Madrid wapo tayari Rodriguez ajiunge na Chelsea ila? Baada ya Mahrez kumsumbua Terry Chelsea waamua hivi …
Headlines za soka bado zinachukua nafasi kila kukicha na mimi mtu wangu siachi kukujuza kila linalonifikia, hususani katika kuelekea kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili la mwezi January. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TOP 5 stori za soka zilizoandikwa sana barani Ulaya. 5- Chelsea kutangaza dau la kumsajili Stones mwezi Janury Baada ya […]
The post TOP 5 Stori: Madrid wapo tayari Rodriguez ajiunge na Chelsea ila? Baada ya Mahrez kumsumbua Terry Chelsea waamua hivi … appeared...