Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chikawe kuzungumzia Bunge la Katiba leo

Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe anatarajiwa kutangaza utaratibu wa uwasilishaji wa majina kwa ajili ya uteuzi wa wabunge 201 kutoka makundi mbalimbali ya kijamii kwa ajili ya Bunge Maalumu la Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AWASHAWISHI WANANCHI NACHINGWEA KUIPIGIA KURA YA NDIO KATIBA ILIYOPENDEKEZWA NA BUNGE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (Kushoto), akimsalimia Katibu wa CCM tawi la Kijiji cha Mkurupita, Kata ya Ndomoni, Nora Lwambano wakati alipokuwa akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa kata hiyo kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Kata hiyo, Wajumbe wa Mabaraza ya Jumuiya zote za CCM Kata, Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Baraza la Wazee katika Kata hiyo. Waziri Chikawe alitoa msaada wa madaftari na...

 

10 years ago

Michuzi

Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...

 

10 years ago

Michuzi

RASIMU KATIBA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI LEO KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, leo 24 Septemba, 2014. Kulia ni mjumbe wa Bunge hilo, Dkt. Tulia Ackson. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini...

 

11 years ago

Habarileo

Bunge la Katiba kuanza leo

HISTORIA ya nchi imeandikwa leo kwa Bunge Maalumu la Katiba kuanza mkutano wake huku mchakato wa kupata Mwenyekiti wa Bunge hilo, ukiwa umetangazwa kutoa nafasi kwa wajumbe wenye sifa kuingia kwenye kinyang’anyiro.

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA BUNGE LA KATIBA LEO

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan (aliyebeba mkoba) akiwasili Bungeni kuendelea na majukumu ya Bunge Maalum la Katiba. Aliyemtangulia mbele ni Mkuu wa Idara wa shughuli za Bunge John Joel. Mwakilishi wa Watanzania waishio Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Kadari Singo (kushoto) akifurahia jambo akiwa pamoja na waandishi wa Habari leo 29 Agosti, 2014 Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,...

 

10 years ago

Vijimambo

BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Amon Mpanju akisoma Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge Maalum leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ezekiel Olouch akichangia mada wakati wa usomaji wa Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge Maalum leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Pindi...

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA BUNGE LA KATIBA DODOMA LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalumla Katiba,Mh. Samweli Sitta (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na wajumbe wa Bunge hilo,mjini Dodoma mara baada ya kuahirishwa kwa shughuli za Bunge hilo. Wengine ni Mjumbe wa Bunge hilo ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kulia),Captain Mstaafu John Komba , Erasto Zambi na Diana Chilolo. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) na Lazaro Nyalandu (kushoto) wakiwahi kuhududhuria mkutano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani