Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chiwango azikwa Dar

MWILI wa marehemu Willie Chiwango (61), ulizikwa jana kwenye makaburi ya Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam na maziko yake kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari, wahariri na wadau wengine wa habari hapa nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mwandishi Mkongwe wa Habari za Michezo nchini Willie Chiwango afariki dunia.

Marehemu Willie Chiwango
Taarifa kutoka mtoto wa marehemu, Stephen Chiwango (61), zinasema mauti ya limfika baba yao jana saa 5:30 usiku katika hospitali ya Masana iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam alikokua amelazwa kwa matibabu na alikua akisumbuliwa na matatizo ya kichwa.Alisema kuwa mauti yalimkuta katika hospitalini hapo akifanyiwa vipimo zaidi ili kujua tatizo la mwandishi huyo ambaye chombo chake cha mwisho kukifanyia kazi ni Tanzania Standard Newspapers (TSN) akiwa ni Mhariri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Recho azikwa na kichanga chake Dar

SAFARI ya mwisho ya msanii wa filamu, Rachel Haule ‘Recho’ na mwanaye mchanga imefikia tamati jana baada ya kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na kuacha simanzi...

 

10 years ago

GPL

BANZA STONE AZIKWA JIJINI DAR

Mamia ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ramadhan Masanja 'Banza Stone' wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi  kwenye Makaburi ya Sinza, Jijini Dar es salaam alasiri hii.

 

9 years ago

Mtanzania

Mama wa Dogo Aslay azikwa Dar

ASLAYNA MELCKZEDECK SIMON

MSANII kiongozi wa kundi la Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’ jana alijumuika na wadau mbalimbali wa sanaa kumzika mama yake mzazi, Moza Mohammed aliyefariki juzi hospitali ya Temeke Jijini Dar es Salaam.

Mama wa msanii huyo alifariki jana asubuhi katika Hospitali ya Temeke, alipokuwa amelazwa.

Wadau mbali mbali wa muziki walimpa pole msanii huyo kutokana na kuondokewa na mama yake kipenzi ambaye alimtimizia kumjengea nyumba kutokana na kipato chake cha...

 

10 years ago

GPL

BABA RICHIE AZIKWA JIJINI DAR

Single Mtambalike 'Richie'. Hatimaye baba wa msanii wa filamu, Single Mtambalike ‘Richie’, amezikwa leo katika Makaburi ya Segerea Dar. Alifariki jana, Tabata, Dar.

 

10 years ago

GPL

SHEM KARENGA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU, DAR

Wananchi wakiusitiri mwili wa marehemu Shem Karenga katika makaburi ya Kisutu, Dar jioni hii. HATIMAYE mwanamuziki nguli nchini aliyekuwa na umahiri wa kuimba na kucharaza gitaa la solo, Shem Ibrahim Karenga azikwa katika makaburi ya Kisutu, Dar jioni hii. Marehemu Karenga alifariki dunia jana katika Hospitali ya Amana, Dar alipokuwa akipatiwa matibabu. Mwenyezi Mungu Ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.… ...

 

10 years ago

GPL

AMIGOLAS AZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR

Mwili wa marehemu, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ ukiwasili nyumbani kwao Mburahati leo jijini Dar es Salam. Mjane wa marehemu, Bi Modesta Emmanuel akiwa amezimia msibani.…

 

11 years ago

GPL

MWIMBAJI INJILI DEBORAH SAID AZIKWA MAKUBURI DAR

Nyumbani kwa marehemu.
Baadhi ya ndugu na jamaa wakilia na kuomboleza.
Familia ya marehemu Deborah Said wakiwa na majonzi.…

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani