Chronixx asema kuwa Kizazi kipya kinahitaji aina mpya ya maandamano.
Mwanamuziki wa Reggae Chronixx amesema ulimwengu unahitaji aina mpya ya maandamano ili kupata madiliko.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
Msanii wa kizazi kipya
Neno moja huweza kubadilisha maisha ya mtu, hayo yamemkuta msanii wa muziki nchini Tanzania
10 years ago
BBCSwahili10 Apr
Muziki wa kizazi kipya Tanzania
Wanamuziki walio wengi wa kizazi kipya wamejikita katika nyimbo za mapenzi.
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Muziki wa kizazi kipya DRC.
Mwanamuziki wa kizazi kipya mashariki mwa Congo ameanzisha kampeni kuinusuru jamii.
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Wasanii wa kizazi kipya mnalijua hili?
Unashangaa msanii anatoa wimbo mkali, unakonga nyoyo za mashabiki na kuombwa katika kila kituo cha televisheni na redio lakini ndani ya miezi miwili mitatu unapotea ghafla bila kuaga.
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Tunahitaji kizazi kipya cha wanasiasa
TUNAPOELEKEA ukingoni mwa harakati za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, tuendelee kuitupia macho Tume y
Kitila Mkumbo
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Marco Asensio kizazi kipya cha soka la Hispania
Ni wachezaji wachache ambao huwa wanapata nafasi ya kutokea katika ukurasa wa mbele wa gazeti la michezo la Marca nchini Hispania ambalo lina wasomaji wengi, lakini Marco Asencio (18) ametokea kwenye gazeti hilo kwa sababu ya kipaji cha hali ya juu cha kutandaza soka alichonacho.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL2Zwm5Y8hOHyWFoXgRdQjrkvx6hxncls4vsZJja7sLVZMuhWCs1wr8nWVYOychFoxlp0f60ousQqdDDOqtJ4J7d/ufe_02.gif?width=650)
TAMBUA AINA TOFAUTI ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI CHA MWANAMKE-3
Wiki zilizopita nilijadili kuhusu Fibroids, Ovarian cysts yaani uvimbe kwenye vifuko vya mayai ya uzazi na tatizo la mwanamke kuwa na vijivimbe vingi vidogo vidogo kwenye vifuko vya mayai ya uzazi, tatizo ambalo kitaalamu hujulikana kama Polycystic Ovarian Syndrome ( PCOS). Leo nitamalizia somo hili. Leo ninamalizia somo letu ambalo linahusu kutambua aina mbalimbali za uvimbe kwenye kizazi cha mwanamke. Salpingitis
Hili ni...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4kob-ACIQRY/VOccIZLTLUI/AAAAAAAHEw0/NKJcUiVLn8U/s72-c/MEZ-B2.jpg)
JUST IN: MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA,MEZ B AFARIKI DUNIA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-4kob-ACIQRY/VOccIZLTLUI/AAAAAAAHEw0/NKJcUiVLn8U/s1600/MEZ-B2.jpg)
Mez B amewahi kulazwa na kuruhusiwa mara kadhaa katika hospitali ya Dodoma na hivi karibuni alizidiwa na kulazwa mkoani humo mpaka umauti...
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/mVF4RzKelMg/default.jpg)
Muziki wa kizazi kipya wa Kiswahil na Kikongo watamba nchini Sweden
Sehemu ya show ya muziki wa Kiswahili na Kikongo huko mjini Linköping Sweden kwenye wiki ya Swedesh Melody festival
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania