Chuo cha Elite Learning cha Kijichi kudhamini Taswa SC
![](http://3.bp.blogspot.com/-oNiXgnJqk48/U4Tq3bC-5GI/AAAAAAAFlmM/3LYZMvYTxvg/s72-c/unnamed.jpg)
Chuo bora cha Elite Learning cha Mtoni Kijichi kimeahidi kusaidia timu ya soka na netiboli ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC) ili ziweze kusonga mbele katika shughuli zake. Ahadi hiyo ilitolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Elite learning institute Co. Hassan Kashoba baada ya kuvutiwa na jinsi waandishi wa habari wanavyojishughulisha kwa vitendo katika shughuli zao za kila siku. Kashoba alisema kuwa wao mbali ya kusaidia vifaa vya michezo, pia wametoa ofa kwa waandishi wa habari...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Elite Learning kudhamini Taswa SC
CHUO cha Elite Learning cha Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam, kimeahidi kusaidia timu za soka na netiboli za waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC), ili ziweze kusonga...
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-vWAqyhpZctA/Uu8w2tKnW7I/AAAAAAAA_6g/8Qjofe7BzTM/s1600/TA1A1683.jpg)
ZANZIBAR KUANZISHA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI KWA WANAWAKE KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA BAREFOOT CHA INDIA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-AkmPItJ2l1E/VQhNHqO0eDI/AAAAAAAHLEY/xGoLX7n3mro/s72-c/EASTC%2B7.jpg)
CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA KUTILIANA SAINI YA MKATABA WA MAKUBALIANO YA MAFUNZO YA WATALAAM WA TAKWIMU NA CHUO CHA TAKWIMU CHA INDIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-AkmPItJ2l1E/VQhNHqO0eDI/AAAAAAAHLEY/xGoLX7n3mro/s1600/EASTC%2B7.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-IoEQ5edr-Yw/VQhNGNj0rFI/AAAAAAAHLEM/p8_GDc4VALs/s1600/EASTC%2B5.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_Cf8aFa1yEQ/U0mKQmx521I/AAAAAAAFaTs/4QOeSuEaLxI/s72-c/1+(1).jpg)
Makamu Mwenyekiti TASWA alamba nondozz yake ya uandishi wa habari katika Chuo Kikuu cha Rhodes, Afrika Kusini
![](http://2.bp.blogspot.com/-_Cf8aFa1yEQ/U0mKQmx521I/AAAAAAAFaTs/4QOeSuEaLxI/s1600/1+(1).jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Mar
Chuo cha takwimu cha India kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya mafunzo ya watalamu wa Chuo ch EASTC
Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) Prof. Innocent Ngalinda akimwelezea Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal kuhusu chumba cha kompyuta kilichopo chuoni hapo wakati wa kuangalia maadalizi ya kutiliana saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Mafunzo ya Watalaam wa Takwimu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika na Chuo cha Takwimu cha nchini India utakaosainiwa tarehe 28 Machi, 2015.(PICHA NA VERONICA KAZIMOTO).
Na Veronica Kazimoto, MAELEZO
Chuo cha Takwimu Mashariki...
10 years ago
MichuziSERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE
Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU wameiomba Tume ya Vyuo...
10 years ago
GPLSERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Ibg7R9B3S7k/VbYgqo_JyqI/AAAAAAAHr98/tJpJcjMp-i8/s72-c/IMG_9930.jpeg)
CHUO CHA TAIFA CHA UTALII WAZINDUA KIOTA CHA BURUDANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ibg7R9B3S7k/VbYgqo_JyqI/AAAAAAAHr98/tJpJcjMp-i8/s640/IMG_9930.jpeg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-g_5Abkw9y28/VbYfl0uO5vI/AAAAAAAHr8U/UmlphMKXyRg/s640/IMG_0011.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-oP_DCGARAow/VbYfnTn-gMI/AAAAAAAHr8c/HnKMyjQ12qA/s640/IMG_0021.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-RaPUNFopHhA/VbYfuq0t5pI/AAAAAAAHr8k/31Yc6Fj43gI/s640/IMG_0041.jpg)