Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Elite Learning kudhamini Taswa SC

CHUO cha Elite Learning cha Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam, kimeahidi kusaidia timu za soka na netiboli za waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC), ili ziweze kusonga...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Chuo cha Elite Learning cha Kijichi kudhamini Taswa SC

Chuo bora cha Elite Learning cha Mtoni Kijichi kimeahidi kusaidia timu ya soka na netiboli ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC) ili ziweze kusonga mbele katika shughuli zake. Ahadi hiyo ilitolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Elite learning institute Co. Hassan Kashoba baada ya kuvutiwa na jinsi waandishi wa habari wanavyojishughulisha kwa vitendo katika shughuli zao za kila siku.  Kashoba alisema kuwa wao mbali ya kusaidia vifaa vya michezo, pia wametoa ofa kwa waandishi wa habari...

 

10 years ago

Michuzi

Redio Times, Valentino Hotel kudhamini mafunzo TASWA

Meneja Mkuu wa Royal Valentino Hotel iliyopo Kariakoo Dar es Salaam, Kapara Hamis (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusiana na semina ya waandishi chipukizi wa habari za michezo inayoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), itakayofanyika Jumatano ijayo. Kulia ni Mkurugenzi wa Redio Times FM, Rehure Nyaulawa ambaye redio yake pamoja na hoteli hiyo ndiyo wadhamini wa semina hiyo. Mwingine ni Makamu Mwenyekiti wa TASWA, Egbert Mkoko. (Na...

 

9 years ago

Vijimambo

TASWA FC, TASWA QUEENS WAMALIZA ZIARA YAO YA MKOA WA ARUSHA NA TANGA BILA KUFUNGWA

Mchezaji wa Taswa Fc, Julius Kihampa (kushoto) akikokota mpira wakati wa mchezo wa Bonanza la 10 la Taswa Arusha dhidi ya timu ya IMS Maji ya Chai, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 1-1.Mchezaji wa Taswa Queens, Oliver Arbogasti, akimdhibiti mchezaji wa timu ya Chuo cha waandishi wa Habari cha AJTC wakati wa mchezo wao. Katika mchezo huo Taswa Queens, ilishinda mabao 37 - 3 Nahodha wa timu ya Taswa Queens, Zuhura...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Posta yazing’arisha Taswa FC, Taswa Queens

Benki ya Posta Tanzania (TPB) imeendelea kuisadia timu ya Waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC) baada ya kuikabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya kutumika katika mashindani na michezo mbali mbali ya kirafiki.
Benki hiyo imekabidhi seti za jezi kwa timu hizo zikiwa na jumla ya thamani ya Sh1,180,000 kwa timu ya mpira wa miguu maarufu kwa jina la Taswa FC na timu ya netiboli ambayo pia inajulikana kwa jina la Taswa Queens.
Akizungumza katika makabidhiano hayo, Meneja mahusiano...

 

10 years ago

Vijimambo

TPB SUPPORTS TASWA FC, TASWA QUEENS

Meneja Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Noves Moses akikabidhi jezi za mpira wa miguu zenye thamani ya sh. 1,800,000/= kwa Mwenyekiti wa TASWA SC Majuto Omary. Meneja Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Noves Moses akikabidhi jezi za mpira wa miguu zenye thamani ya sh. 1,800,000/= kwa Mwenyekiti wa TASWA SC Majuto Omary.
TANZANIA Sports Writers Association Sports Club (TASWA SC) received sports gears worth Tzs 1,800,000/= from Tanzania Postal Bank (TPB). Chief Manager, Corporate Affairs of the bank Noves Moses said her bank has decided to support the team as a gesture for active recreation activity besides reporting. Noves said...

 

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI TASWA: 27 WAREJESHA FOMU UCHAGUZI TASWA

Waombaji 27 kati ya 28 wamerejesha fomu kuomba kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) utakaofanyika Machi 2, 2014 jijini Dar es Salaam.
Mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu hizo ilikuwa leo Alhamisi (Februari 27 mwaka huu) saa 9 alasiri.
Waliorejesha kwa nafasi ya ujumbe ni Aron Benedict Mpanduka, Elizabeth Rashid Mayemba, Emmanuel Augustino Muga, Hassan Maulid Bumbuli, Ibrahim Mkomwa...

 

9 years ago

BBC

Elite SA university to drop Afrikaans

An elite South African university is to drop Afrikaans as the language of instruction and teach in English after a campaign by students.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani