Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Redio Times, Valentino Hotel kudhamini mafunzo TASWA

Meneja Mkuu wa Royal Valentino Hotel iliyopo Kariakoo Dar es Salaam, Kapara Hamis (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusiana na semina ya waandishi chipukizi wa habari za michezo inayoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), itakayofanyika Jumatano ijayo. Kulia ni Mkurugenzi wa Redio Times FM, Rehure Nyaulawa ambaye redio yake pamoja na hoteli hiyo ndiyo wadhamini wa semina hiyo. Mwingine ni Makamu Mwenyekiti wa TASWA, Egbert Mkoko. (Na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Elite Learning kudhamini Taswa SC

CHUO cha Elite Learning cha Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam, kimeahidi kusaidia timu za soka na netiboli za waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC), ili ziweze kusonga...

 

9 years ago

Mwananchi

Hongera Star Times kudhamini ligi, ila...

Ni dhahiri kuwa hatimaye Ligi Daraja la Kwanza iliyoanza wiki moja iliyopita imetimiza ndoto yake kwa kupata msukumo wa kipekee ambao haujapata kuonekana baada ya kudhaminiwa na Kampuni ya Star Times.

 

11 years ago

Michuzi

Chuo cha Elite Learning cha Kijichi kudhamini Taswa SC

Chuo bora cha Elite Learning cha Mtoni Kijichi kimeahidi kusaidia timu ya soka na netiboli ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC) ili ziweze kusonga mbele katika shughuli zake. Ahadi hiyo ilitolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Elite learning institute Co. Hassan Kashoba baada ya kuvutiwa na jinsi waandishi wa habari wanavyojishughulisha kwa vitendo katika shughuli zao za kila siku.  Kashoba alisema kuwa wao mbali ya kusaidia vifaa vya michezo, pia wametoa ofa kwa waandishi wa habari...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Lil Ommy wa Times FM afanya ziara kwenye redio za Afrika Kusini, aeleza alichojifunza

de98d706-c2ab-4594-bc30-a595db645200

Mtangazaji wa kipindi cha The Playlist cha Times FM, Lil Ommy yupo jijini Johannesburg alikoenda kwenye ziara maalum kujifunza mambo yanayohusiana na redio.

de98d706-c2ab-4594-bc30-a595db645200

Akiwa huko amezunguka kwenye vituo mbalimbali vya redio na TV vikiwemo vituo vya SABC. Amesema amejifunza mambo mengi kwenye redio na muziki.

d6e355e6-3787-4794-9057-bc71d7af53f0

“Jamaa wana promote zaidi muziki wao na lugha yao kwenye redio wanachanganya Zulu, wanapenda kujifunza Kiswahili, wanaichukulia kama lugha kubwa ya bara la Afrika ukiachana na Kiingereza kuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wyndham Hotel Group Opens Hotel in Dar es Salaam, First Hotel in Eastern Africa

150421w

First hotel on African continent to be operated by Wyndham Hotel Group under management contract, complementing the company’s existing franchised portfolio

 Wyndham Hotel Group (http://www.wyndhamworldwide.com), the world’s largest hotel company based on number of hotels and one of three hospitality business units of Wyndham Worldwide (NYSE: WYN), today announced the opening of the 139-room Ramada® Resort Dar es Salaam in Tanzania.

Complementing Wyndham Hotel Group’s existing portfolio of...

 

10 years ago

Dewji Blog

Fanyeni redio zenu zitamanike, wamiliki redio jamii waambiwa

DSC_0088

Mwezeshaji wa warsha ya Viongozi wa vituo vya redio jamii ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya kuwawezesha wajasiriamali wadogo na wakati (ASMET), Bw. Ramadhan Ahungu akiendesha mafunzo ya masoko na mpango biashara kwa viongozi wa redio jamii nchini wakati kuhitimisho la warsha ya awamu ya kwanza ya mradi wa Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) wa kuzipa uwezo Redio hizo katika matumizi ya Tehama na Mawasiliano iliyoratibiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na...

 

10 years ago

Michuzi

MAAFISA, ASKARI NA WATUMISHI RAIA WA JESHI LA MAGEREZA WAPATIWA MAFUNZO YA JINSIA, ROMBO GREEN VIEW HOTEL - JIJINI DAR

Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akitoa hotuba fupi kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Magereza katika Ufunguzi wa Mafunzo ya Jinsia kwa Maafisa, Askari na Watumishi raia wa Jeshi la Magereza, leo Desemba 29, 2014 katika Ukumbi wa Rombo Green View Hotel. Mafunzo hayo yanafanyika kwa siku mbili ambapo yatafungwa rasmi kesho Desemba 30, 2014(kushoto) ni Mkuu wa Magereza Mkoani Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato Rugainunura(wa pili kulia) ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani