Fanyeni redio zenu zitamanike, wamiliki redio jamii waambiwa
Mwezeshaji wa warsha ya Viongozi wa vituo vya redio jamii ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya kuwawezesha wajasiriamali wadogo na wakati (ASMET), Bw. Ramadhan Ahungu akiendesha mafunzo ya masoko na mpango biashara kwa viongozi wa redio jamii nchini wakati kuhitimisho la warsha ya awamu ya kwanza ya mradi wa Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) wa kuzipa uwezo Redio hizo katika matumizi ya Tehama na Mawasiliano iliyoratibiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi13 Feb
WAANDISHI WA HABARI WA REDIO ZA JAMII WAASWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA KATIKA KUITUMIKIA JAMII
![DSC_0046](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0046.jpg)
![DSC_0012](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_00121.jpg)
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0046.jpg)
WAANDISHI WA HABARI WA REDIO ZA JAMII WAASWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA KATIKA KUITUMIKIA JAMII
10 years ago
Dewji Blog02 May
UNESCO yafurahia mabadiliko redio jamii
Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akiendesha mafunzo ya matumizi ya kutumia TEHAMA kwa kupeleka na kupokea habari yaliyofanyika katika kituo cha Sengerema Telecentre mkoani Mwanza chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) kwa ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO).
Na Mwandishi Wetu, Sengerema
AWAMU ya pili ya mradi wa kuwezesha...
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
UNESCO yawafua watendaji wa redio jamii
Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye, akiwakaribisha na kuwatambulisha wawezeshaji kwa washiriki wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya kuwajengea uwezo katika masuala ya masoko na Tehama kwa mameneja na waandishi wa habari takribani 60 kutoka Redio jamii mbalimbali nchini, yanayoendelea kwenye kituo cha habari na mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza.
Na Mwandishi wetu, Sengerema
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_00142.jpg)
UNESCO YAWAFUA WATENDAJI WA REDIO JAMII
10 years ago
Michuzi05 Jan
REDIO YA JAMII MKOANI YAZINDULIWA KUSINI PEMBA
![DSC_0011](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/01/DSC_0011.jpg)
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (mwenye koti la suti) akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba kwa ajili kuhuduria sherehe za uzinduzi wa Redio Jamii Mkoani jimbo la Mkanyageni, Kusini Pemba na kupokelewa na Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) Bw. Al Amin Yusuph (kulia) aliyeambatana na Mshauri na Mkufunzi kutoka...
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
UNESCO kuendeleza utamaduni wa kuzisaidia redio jamii
Mkuu wa ofisi na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (Utawala na Fedha), Bw. Liberat Mfumukeko alipowasili katika chumba maalum cha wageni kabla ya kuelekea kwenye ufunguzi wa kongamano la siku tatu la Mtandao wa Redio za Jamii katika nchi za Afrika Mashariki (EACOMNET) linalolenga kujadili namna ya kuziwezesha redio hizo...
10 years ago
Dewji Blog15 Aug
Redio za kijamii zatakiwa kutoa elimu kwa jamii
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph, akifafanua jambo kwa Diwani wa kata ya Ololosokwani ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika lisiolo la kiserikali la RAMAT inayomiliki Redio Loliondo FM, Bw. Yannick Ndoinyo (kushoto) wakati wa ziara ya kukagua miradi inayofadhiliwa na UNESCO. Bw. Al Amin aliambatana na wadau wa maendeleo Meneja Mauzo wa Samsung tawi la Tanzania, Bw. Sylvester Nteere (wa pili kushoto) na Mwakilishi wa Ubalozi wa Uswiss nchini, Bw....